Dada zangu omba yasikukute haya

Dada zangu omba yasikukute haya

Hili andiko ni sahihi kabisa, wanawake wengi ni wapumbavu.
Kuna mdada niliwahi mfanyia mfano huo huo ila tofauti yake mimi sikumpa mimba wa HIV ila alilegea as if tumeshaa ishi miaka 10 kwenye mahusiano.
 
Ukimwi unaweza ukwaa popote pale sio mpaka uzurule.
 
Ukimwi utaupata tu endapo utaenda kuupima, usipopima ukimwi huwezi kuwa nao maisha yako yote. Tafuta documentary YouTube inaitwa " HOUSE OF NUMBERS", ina zaidi ya saa 1 lakini iangalie mara kadhaa utaelewa hii Dunia inavyoendeshwa. Story za UKIMWI na woga kuhusu HIV vimebakia Africa na nchi tegemezi. Hizo campaign zilisha expire siku nyingi kwenye nchi zenye taarifa zaidi. Maisha ni hayahaya acha watu waishi maisha wanayoona yanawafaa ilimradi hawavunji sheria yoyote. Ukiamua kuishi kwa uoga ni wewe, ila usiwatishe watu.
acha kujifariji
 
Amekutext dm mtandaoni ukamuuliza wewe nani? akakujibu jina ukamuuliza okay una shida gani? akakujibu ningependa tuwe marafiki kama utojali

Ukasema ngoja niingie profile yake ukaangalie picha zake ukaona mara yupo na range anaonekana jamaa mmoja mwenye uwezo

Akakuomba namba ya sim na wewe bila kusita ukampa after 1day akakuomba muonane ukamwambia huna nauli bila kuchelewa sms ya m-pesa ikaingia kwenye sim yako 200,000 kakutumia na ni nauli tu hiyo ingawa unapotoka hapazidi hata 20,000

Ukasema mambo yasiwe mengi ukajiremba mwenyewe ukajipulizia na marashi ya kunukia vizuri ukaweka make up bila kuchelewa ukarequest usafiri ukapanda

Baada ya massage kadhaa ukafika alipokuelekeza akakuchukua kwa ajili ya lunch na kukupeleka hotel nzuri akakushika mkono na kukufanya ucheke muda wote kwa vituko vyake

Ukafall in love hapohapo utadhani mmejuana kwa miaka akakuchukua mpaka hotel mkaingia ndani kimahaba ukapenda the way alivyo romantic, nguvu na ujasiri ukajisikia secure ukiwa nae

Ukajua kabisa kuwa unachoenda kufanya sio sahihi lakini ukajisikia poa tu ukamwambia atumie kinga, akakuambia it's too late babe ukasema okay hukutaka kumsumbua

Akakuambia anakupenda ukusita kumwambia unampenda pia ukanvua nguo tena mwenyewe mkanyandua kwa style zote akakubusu katika shavu lako kisha akakuambia nimefurahi nimekuwa na wewe muda mzuri na wewe

Akachukua wallet yake akakupa 300,000 na wakati huo alikutumia 200,000 ukatabasamu kisha akakuambia mjiandae ukapanda uku ukimuaga kwa tabasamu zito ulipofika nyumbani ukamtumia message kuwa umefika kimya ukampigia namba haifanyi kazi unaingia whatsapp unamuona online ukamtext babe dakika chache baadaye humuoni whatsapp unaona kivuli tu amekublock na kawaida ukimpigia kakublock unabaki unajiuliza kwanini

Ukasema it's okay atajua mwenyewe siku, week, miezi, ikapita unaanza kujisikia homa homa mchovu uzito umepungua na utando mdomoni

Unaenda kituo cha afya kupima nusu saa daktari anaingia pole sana dada language una maambukizi ya virusi vya ukimwi na ni mjamzito vile vile mimba + hiv? how

Hauelewi hauamini unarudi nyumbani ukiwa na hours kubwa unaona kifo hiki hapa unatazama angani unaona mwisho wako unajuta kumuamini mtu kirahisi hivyo unatamani muda ungerudi nyuma lakini ndio ivory inakuwa too late unajiuliza ulikosea wapi upati majibu hiv umepata na mimba umepata isitoshe aliekupa kakukimbia sad

Dear ladies msiwe kama huyu ishi vizuri hapa duniani acheni kutamani material things, kuwa mwanamke ambaye ungependa mwanao aje kuwa mtoto mzuri na ndio wazazi wetu walitufundisha ishi maisha yanayompendeza mungu pekee na sio binadamu vitabu vya dini vinasema "msiamini kila roho ila zichungeni hizo roho kama zimetokana na mungu" mke + mume anatoka kwa mungu usisahau maagizo ndio silaha ya ushindi
Interesting
 
Mkuu mara nyingi sana, anayehisi mwerevu kuna uwezekano akawa mjinga na MPUMBAVU. Nimefanya research kuhusu H.I.V - A.I.D.S zaidi ya miaka 15, hakuna ninachoongea kwa bahati mbaya. Ninajua ninachokisema, hata nikiandika kitabu Page 100 wengi hamtaelewa sababu mmeshikwa akili kwa miaka mingi. Ndo maana natoa sentence moja wenye akili muanzie hapo, usipopima ukimwi huwezi kuwa nao maisha yako yote, tafuta documentary YouTube inaitwa HOUSE OF NUMBERS ina zaidi ya saa 1 iangalie. Anzia hapo mengine utajiongeza. Ila usizoee kujiona una akili na kutukana usiowajua. Waweza kukuta wewe ndo mjinga zaidi.
Mkuu Mimi pia Huwa najiuliza kwanini UKIMWI upo Africa Kwa kiwango kikubwa. USA na population yao kubwa lakini Wana namba ndogo sana ya waathirika
 
Hakuna mtu anayeumwa UKIMWI, hakuna ugonjwa unaitwa UKIMWI ni Upungufu Wa Kinga MWILINI. Sio ugonjwa hata ukiwa na mafua makali unapungukiwa Kinga MWILINI. Kinga kupungua mwilini ni kawaida, mtu anaumwa, typhoid, Maralia, Tuberculosis nk nk, lakini haumwi kupungukiwa kinga. Kinga zikipungua nenda kale vizuri wiki 3 au mwezi zinarudi normal, ila ukidanganyika ukaanza kuitumia ARV'S baada ya miezi mitatu Kinga yako ya asili inakwisha mwili unaanza kutegemea ARV's na ndo unaanza kudhoofika kwa mwili kutegemea ARV's huwezi kuziacha tena kirahisi. Zimedizainiwa hivyo, ni biashara kubwa ya pharmaceuticals Companies..,Maelezo ni mengi sana hata kitabu Cha page 200 hakitoshi. Tafuta documentary YouTube inaitwa HOUSE OF NUMBERS anzia hapo. Mengine jiongeze, hii Dunia ni pana sana.
Kama hutojari naomba unijibu hili swali

Kwa nini miaka ya tisini huo unaoitwa Ukimwi umewamaliza watu wengi sana mpaka pale zilipogunduliwa hizi Arv kidogo ile kasi ya vifo vinavyotokana na Ukimwi vimepungua na hata ule ukondaji wa kubaki kilo mbili ni nadra?
je enzi zile ule ulikuwa ni ugonjwa gani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom