Recent content by Transparen

  1. Transparen

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume: Sheria inayokataza mapenzi ya jinsia moja imepitwa na wakati

    Hao watu kumbuka wanaleta madhara makubwa kwa kulaghai watoto na kuwaharibu, Bibie fatma vuta picha unasikia kuna Njemba inamfumua marinda mwanao wa umri wa kati kisa ni faragha yao utawaacha!? Tuache kushabikia ujinga saivi malezi kwa watoto wetu wa kiume ni Kazi sana mana watu hawaaminiki na...
  2. Transparen

    JamiiForums Tanzania Kama siyo wadhifa wake, huyu naye angechukuliwa kimafia!

    JPM atawabatiza kwa Moto, Mzee yule alinifurahisha sana sasa wacha tuone, Maji yapo uwani kwake mafuriko hayo
  3. Transparen

    JamiiForums Tanzania Nahitaji watu wa Usafi Arusha wadada wawili na mwaanume mmoja

    Wenye uhitaji nimeshawapa details pm
  4. Transparen

    JamiiForums Tanzania Nahitaji watu wa Usafi Arusha wadada wawili na mwaanume mmoja

    husika na heading apo juu
  5. Transparen

    JamiiForums Tanzania Napokeaje Pesa kutoka South africa via mobile Money

    Wakuu ivi kuna njia yoyote ya kuniwezesha kureceive Money from SA direct to my Mobile money account via mpesa? Nimejaribu through Swift code kw kutumia visa card ila sender anasema inamgomea is there any method out?
  6. Transparen

    JamiiForums Tanzania Kiini cha mahusiano ya CIA na Vatican

    Best informers wa CIA ni Roman Catholic
  7. Transparen

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Hakuna Credit card zipo Debit card izo visa na master, Yes you can deposit the money via Bank kama tu card ni visa or master
  8. Transparen

    JamiiForums Tanzania Kiukweli siyo Wakuu wa mikoa pekee, hata Mawaziri wanapaswa kujifunza kwa Makonda

    Makonda ana exposure kubwa sana na mambo ya leadership, Mkiambiwa kuongoza ni kipaji hamtaki kukubali, Wakowapi maprofesa Kijana mdogo tu anawazidi Hata experience na exposure, Mkuu amteue tu RC makonda kuwa Mbunge afu ampe wizara makini kati ya hzi Ulinzi, Maliasili Atatupeleka tunapo wish kufika
  9. Transparen

    JamiiForums Tanzania Civil, Mechanical na Electrical engineering

    Umeme ni Umeme tu wakuu japo hizo zote ni Core course ila umeme unakula bila jasho sana kama mnyama mechanical kwanza ni tight msuli wa mecha pili inataka nguvu, Umeme na Civil good sana
  10. Transparen

    JamiiForums Tanzania USHAURI ;diploma in community development and civil engineering vs marine transport

    Soma Civil kijana you won't regret
  11. Transparen

    JamiiForums Tanzania Mlinzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Aise
  12. Transparen

    JamiiForums Tanzania Huyu Martin Elia Mkisi mbona anapanda vyeo haraka

    Stella bna
  13. Transparen

    JamiiForums Tanzania Bitcoin Mining - Genesis mining [BTC]

    Mkuu hii pesa ya fursa imekuwa ikiogopwa na Watz pengine sijui ni kutoilewa au kuto kuwa centralized but let tell them that anything that involves great risk pay well in short time
  14. Transparen

    JamiiForums Tanzania Mlinzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Tech gani hio mkuu ya kumuweka rais safe 50m kama hutojali share na sisi tujifunze mkuu
Back
Top Bottom