G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 12,489
- 39,969
Huyu naye kule bandarini anahusika. Kuitwa kwake ni baada ya kijana yule kumtaja kwenye kumsaidia kule bandarini. Kama siyo wadhifa angechukuliwa kimafia.
Wapo pia dada yake kwa pamoja wana dili kule Singida "Wanasaplai" raw materials. Alitajwa na kijana yule kama msaada kwake.
Kinachofuata atatumbuliwa kisha ataundiwa zengwe. Mwisho wake umewadia. Biashara "kwishney" mambo mpelampela familia inaanguka. Kijana yule kajipangaje? Waajiriwa je?
Swali langu la kila siku. Kwanini wanawachukua kimafia?