Bitcoin Mining - Genesis mining [BTC]

Thomas0n

Member
Apr 23, 2010
19
9
Habari za Muda!

Nahisi mwatu wenge anafahamu mpya investment kama Bitcoin (Tunashukuru CYBERTEQ kwa huu maelezo - Historia ya BITCOIN; Uliza chochote nitajitahidi kukujibu.).
Huku nataka kuonesha jinsi ya kupata Bitcoin bila usumbufu na kupotea pesa ningi za cooling system ya umeme - Cloud mining - Genesis-mining.
Kirahisi unanunua mining contarct na unaanza kupata Bitcoin au Etherium au currency ningine ambae unahitaji.
Jinsi ya Kujiunga rahisi:

1. Unaregister huku: https://www.genesis-mining.com/a/875731
2. Confirm email
3. Unachagua package
4. Unalipa kupitia bitcoin/benki(visa/master)
5. Kupata Discount 3% Jaza PROMO CODE IVG32u
6. START MINING!!! (first payment will receive after 1 month (accumulated all 30 days)

-
Maximum pesa inarudi ndani ya mwezi 5-5.5, kwa rate ya sasaiwi lazima itarudi investment yako ndani ya mwezi 4.2.

The digital currencies like Bitcoin are not issued by the authorities that no countries or organizations will bear the risk. They have a very high risk of price volatility, you shall understand and be familiar with the investment risk and make the decisions according to your condition and ability.

Bitcoin is - simply put, a digital currency. The reason why we (and many others) think it is such a remarkable innovation is that this digital money is not controlled by any central authority. The Bitcoin network is completely decentralized, the currency itself is produced by a community, to which anyone can freely join. Bitcoin can be transferred almost freely and instantly in contrast to a bank transfer, where one must pay a significant amount of money and the completion might take days.

Bitcoin is not like the money we know, it is produced and held digitally. It is created by a network of computers that use a certain software, solving mathematical problems. There will be only a finite number of Bitcoins that can ever be mined, so inflation is not a problem of this currency.
An online payment with Bitcoin is fast, secure and as anonymous as you want it to be, and the number of goods and services for which you can pay with digital currencies is constantly growing as well.
 
Attachments

  • GM_LS-Banners_150x150px.gif
    GM_LS-Banners_150x150px.gif
    17.9 KB · Views: 120
  • maxresdefault.jpg
    maxresdefault.jpg
    65.2 KB · Views: 99
Mkuu hii pesa ya fursa imekuwa ikiogopwa na Watz pengine sijui ni kutoilewa au kuto kuwa centralized but let tell them that anything that involves great risk pay well in short time
 
Kweli, nafikiri ni watu bado awajaelewa vizuri Tanzania, lakini ni fursa nzuri sana ambae watu wenge nje wanatumia sasa hivi. Kwa hyo tujaribu na sisi kuitumia fursa hii vizuri kabla atujachalewa!
 
Ungetumia lugha rahisi kuelewesha.. ulianzaje ,umefikia wapi, changamoto gani unapata.. n.k
 
Nimepata hizo fursa kwene mitandao na youtube. Nimejaribu Genesis-mining ya kwanza, nimechagua mining contract kujaribu na kucheki kama pesa zinaweza kutoka, nimenunua 80$ contract ya MONERO na 300$ Contract ya ETH lakini nemeseti kupata BTC-50% na ETH 50% baadae la ETH 100%(unaweza kuchagua mining ya currency) na baadae ya siku 30 nimepata malipo ya kwanza ETH 0.126 na BTC 0.01 na Monero =0 ( wanachaji umeme, nafikiria imebalansiwa hiwi). Kwa Mahesabu ya rate ya siku nimejiunga BTC ilekuwa 3000$ na ETh 300$ . Nimepata jumla kuu 67$. Naona zinaenda vizuri na Novemba nitaweza kununua contracti Jipya kwa kupitia BTC na ETH Sasa, kwa hiyo itakuwa double Power!
Mining haitajiki kufanya chochote, sababu Genesis anauza ready contracts, hamna kuangaika kabisa!

Karibu Genesis kupitia https://www.genesis-mining.com/a/875731
 
Nimenunua contracts ya 180000 ya kuchimba ETHERIUM nikipata zile ETHELIUM mwisho wa mwezi nitabadilishaje kwa shilingi?
 
Ukitaka kuuza-jiunga kwene platforms kama bitfinex au bittrex nauza kule halafu fania transfer kwene account yako au paypal.
Zipo ningi, Lakini icho nimejaribu na zinafanya kazi.
 
hapa sjaelewa unaingizaje pesa na pia jinsi ya kununua maana nimeangalia ila naona mauza uza tu nataka kujua inaendaje faida zake na hasara kama zipo ili nijue naazia wapi. hiii kitu huwa naishikiaga tu.

na kwa mfano hizo bitcoin zikishuka kwa kasi inakuwaje
 
1.Unalipa kwa Cadi ay ATM au Coins kama bitcoin, DASH au ETH.
2 Nimeshamambia kwamba riski no kubwa, lakini profit inawezekana itakuwa kubwa pia kama bei itapanda mara mbili au mara kumi. Kwa hyo uangalie investment hizo kwa riski yako.
3. Mimi nawakika inalipa hela yako ndani ya mwezi 6, ningine mwezi 18 unapata unachonunua tu.

Aurora mining nafanana bure kabisa. Duniani bure Nitumie kimoja tu - sumu kwajili ya panya! Uwe makini na taratibu sana, 100Gz bure- unaweza kufungua akaunti 100 bure unafikiri utapata chochote ?? ! Sio nafana Kwa service mzuri... Kama nimekosea nimambie badae nitarekebisha..
 
Boss unataka kufungua account 100? We hatari
 
Mtoa mada nmejiunga tayar genesisi sasa naomba mwongozo wa kuchagua contract buget yng ni km dola 60
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom