eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,227
- 16,178
Jf kenedy aliuawa na freemasons iluminat
Mkuu nadhan ungeacha kuropoka na kufanya research kwanza.....NDO MAANA KUTOKUWEPO KWA CATHOLIC CUBA NA KOREA KASIKAN ,KUMEFANYA KAZI YA CIA KUWA NGUMU !!!.
NDIO MAANA MAHALI AMBAPO HAMNA CATHOLIC POPOTE PALE LAZIMA MAREKAN AMUONE NI ADUI .
REFERS... CHINA,,,CUBA,,,IRAN,,,,N.KOREA,,RUSSIA. N.K
wanakanisa pyongyang linaitwa changchung cathedral...NDO MAANA KUTOKUWEPO KWA CATHOLIC CUBA NA KOREA KASIKAN ,KUMEFANYA KAZI YA CIA KUWA NGUMU !!!.
NDIO MAANA MAHALI AMBAPO HAMNA CATHOLIC POPOTE PALE LAZIMA MAREKAN AMUONE NI ADUI .
REFERS... CHINA,,,CUBA,,,IRAN,,,,N.KOREA,,RUSSIA. N.K
kwa hiyo unamwamini mwandishi?Makanisa nao wapiga dili tu kumbe
Kila sehemu kuna dhehebu/imani tofauti haimaanishi wanapingwa kwa ajili ya uC.I.A ni suala la kiimani zaidi.Yapo japo kwa asilimia ndogo mno so no impacts kwani wanatolewa macho sana sana kumbuka Ayatollah Khomeini wa Iran alivyoweka mikakati mikali mno mbavu zinabana
Papa Pius XII akamvalisha Jenerali Donovan zawadi ya msalaba mkubwa wa dhahabu ulioitwa " Grand Cross of the Order of Saint Sylvester" zawadi hii hutolewa kwa watu 100 tu duniani ambao wamelitendea kanisa katoliki mambo ya kupendeza,kulinda kanisa kwa hali na mali, msalaba huu ni zawadi ya juu kutoka ofisi ya Papa mtakatifu, alipewa zawadi hiyo kwa kuwa amelilinda kanisa katoliki dhidi ya hujuma za kinazi na kikommunist yaani alizuia kanisa katoliki kutodondokea mikononi mwa Wanazi wa komuninist wabaya, wakati huo wajerumani walikua katika jitihada za kutawala Ulaya Magharibi ili kusambaza propaganda za kikomunisti, ndipo Jenerali Donovan alikutana na mwasisi wa shughuli za kijasusi kanisa katoliki Ulaya kwa kifupi Pro Deo yaani Father Felix Morlion na kujadili mjini vatican jinsi gani ya wanaweza kuliepusha kanisa na wanazi wa ukommunist hasa wajerumani,
Inawezekana kuna hoja unataka kuijenga lakini haya maelezo yana ukakasi kidogo
Wajerumani walikua katika jitihada za kutawala Ulaya magharibi ili kusambaza propaganda za kikomunisti?
Umewahi kufuatilia ukaribu uliokuwepo kati ya Kanisa Katoliki na Uongozi wa Wanazi hasahasa Adolf Hitler aliyekua mkatoliki mwaminifu sana? In fact Papa aliyemtangulia huyu wa sasa, Benedict alikua Mnazi, mwanafunzi na muumini mzuri sana wa Nazism na Adolf Hitler
Jf kenedy aliuawa na freemasons iluminat
Rome had helped elect John F. Kennedy, a Catholic, to the White House and, in France, the Church continued to perform an important role in politics.
Source: Gedion spies. The secret History of Mossad

Yaani hawalali kabisaKuna viumbe wanaweweseka na Kanisa Katoliki
Nafikiri umeandika kitu usichokijua vizuri
Unachoshindwa kuelewa tu kama kanisa halina maslahi na kitu chochote basi halipelekeshwi na yeyote labda tu kama kuna maslahi ya kanisa yatapotea hapo kanisa lishirikiana na yeyote
Ni kanisa pekee lisilopelekeshwa na yeyote kwa kuwa haliombi msaada kwa mtu hivi sasa
Na kingine nikuambie labda tu hujui namna uchaguzi wa kumchagua Papa ulivyo
Hata hao wanaochagua wenyewe wanakua hawajui ni nani atakuwa Papa maana maana anaweza kujichagua yeye mwenyewe pia