Wanajf nauliza kati ya civil,mechanical na electrical engineering ipi ipo kwenye soko zaidi ktk kujiajiri na kuajiriwa,msaada plseee .....
Mechanical ilinitoa jasho, msuli wake sio wa kitoto...Umeme ni Umeme tu wakuu japo hizo zote ni Core course ila umeme unakula bila jasho sana kama mnyama mechanical kwanza ni tight msuli wa mecha pili inataka nguvu, Umeme na Civil good sana