Recent content by Trab-Trat

  1. Trab-Trat

    JamiiForums Tanzania Nafikiri nahitaji kuwa na watu wapya

    Hatari
  2. Trab-Trat

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata pete halisi za dhahabu za ndoa?

    Naomba kuuliza, hivi ni wapi nitapata pete halisi (original) ya dhahabu kwa gharama isiyozidi milioni moja? Napenda sana kuvaa pete nzuri, ndiyo urembo wangu.
  3. Trab-Trat

    JamiiForums Tanzania Afya njema ni baraka kubwa sana maishani

    Maradhi, ujinga na umaskini
  4. Trab-Trat

    JamiiForums Tanzania Mimi binafsi simuenzi Mwalimu Nyerere

    Ukoroni La saba B Tuishie hapo Kama kuandika tu ujui hatuwezi bishana na wewe tushajua wewe ni nani[emoji23][emoji23][emoji23]
  5. Trab-Trat

    JamiiForums Tanzania Wanaume vs manunuzi

    Hamna za sokoni hizi
  6. Trab-Trat

    JamiiForums Tanzania Wanaume vs manunuzi

    Mimi: Baby naomba niletee parachichi nataka kuja kutengeneza juice Yeye: Sawa Mimi:Chagua tena mbovu kama kawaida yako (utani) [emoji1787][emoji1787] Kafika kwa anayeuza: Nipe parachichi mbovu za juice Nikaletewa hizo apo
  7. Trab-Trat

    JamiiForums Tanzania Je, hii yaweza kuwa dalili ya UKIMWI?

    [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Aiseee hivi vyuo vinafunguliwa lini?
  8. Trab-Trat

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini kuokoa biashara yangu?

    Watu wa Dar buana janja janja nyingiii
  9. Trab-Trat

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini kuokoa biashara yangu?

    [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
  10. Trab-Trat

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke wa kunipa mtoto tu

    Kutoka jf ujitengenezeee usingle maza hivi hivi Na wanavyoandamwa sasa
  11. Trab-Trat

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni aibu gani umewahi mfichia mpenzi wako?

    Utakuwa na tatizo la lishe, si bure
  12. Trab-Trat

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya interview Chuo cha Ardhi kwa kada ya Assistant Lecturer - ICT yarekebishwe

    Ni makosa yA kawaida tu kwa binadamu. Hata ulivyoandika heading yako na wewe pia umekosea
  13. Trab-Trat

    JamiiForums Tanzania Kimsingi nimepambana mpaka mwisho naombeni vibarua

    Pole sana broo Sina uwezo wa kukusaidia ila nakushauri ungeweka hata elimu yako taaluma yako iwe rahisi kwa mtu mwenye kutaka kukusaidiaa
  14. Trab-Trat

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini kuokoa biashara yangu?

    Umebaki kama million mbili na nusu
Back
Top Bottom