Afya njema ni baraka kubwa sana maishani

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
5,673
Reaction score
21,522
IMG_20221015_161147.jpg

Je! unajua kuwa wakati wa usafishaji figo kwa mashine (Dialysis), damu hutolewa kutoka kwenye mwili kupitia hilo bomba jekundu, hupitishwa kupitia mashine ya dayalisisi, na kisha kurudishwa ndani ya mwili kupitia bomba la bluu.

Utaratibu huu unarudiwa kwa saa nne wakati mgonjwa anabakia kitandani. Hii hufanyima mara tatu kwa wiki, ambayo ni mara kumi na mbili kwa mwezi, na kila wakati inachukua saa nne, ambayo inaleta jumla ya saa arobaini na nane kwa mwezi.

Kwa wale ambao hawajaathiriwa na magonjwa ya figo, mchakato huu wa kusafisha figo hutokea moja kwa moja mara 36 kila siku bila jitihada au usumbufu.

Daima kuwa na shukrani kwa kile ulicho nacho[emoji3590].
 
si kila mtu anajua thamani ya afya/uhai wake.

ngono zembe kila siku matokeo yake maambukizi ya ulimwi!!

tuzidi kuelimisha watu wathamini afya zao.
 
Baba wa Milele ninakutolea Mwili na Damu, Roho na Umungu wa Mwanao Mpenzi sana, Bwana wetu Yesu Kristo Kwa malipizi ya dhambi zetu na dhambi za Dunia Nzima.

Kwa ajili ya Mateso makali ya Bwana Wetu Yesu Kristo, Utuhurumie sisi na Dunia Nzima.
 
View attachment 2387979

Je! unajua kuwa wakati wa usafishaji figo kwa mashine (Dialysis), damu hutolewa kutoka kwenye mwili kupitia hilo bomba jekundu, hupitishwa kupitia mashine ya dayalisisi, na kisha kurudishwa ndani ya mwili kupitia bomba la bluu.

Utaratibu huu unarudiwa kwa saa nne wakati mgonjwa anabakia kitandani. Hii hufanyima mara tatu kwa wiki, ambayo ni mara kumi na mbili kwa mwezi, na kila wakati inachukua saa nne, ambayo inaleta jumla ya saa arobaini na nane kwa mwezi.

Kwa wale ambao hawajaathiriwa na magonjwa ya figo, mchakato huu wa kusafisha figo hutokea moja kwa moja mara 36 kila siku bila jitihada au usumbufu.

Daima kuwa na shukrani kwa kile ulicho nacho[emoji3590].
Mwenyezi Mungu nakushukuru....
 
Back
Top Bottom