Habari wadau naombeni msaada.
Niko katika mahusiano ya kirafiki kwa miezi nane na binti hapa mtaani kwetu ambae yeye ana mtu wake(huwa mara nyingi hakai hapa, yeye anakaa Dodoma ndo anakofanyia biashara, piah alimtoa bikra huyu mdada mwezi wa tano mwanzoni inshot wana malengo makubwa).
sasa mwezi uliopita tulienda kupima na tukawa tupo safe (kulikua na warsha mtaani) basi baada ya hapo binti alinibless tunda mara tatu mfulilizo, wiki mbili zilizopita alikuja bwana ake na wakakutana kimwili(aliniambia) na baada ya hapo akawa ameondoka. Baada ya wiki moja jamaa alienda kupima akakutwa na UTI ile inayokaribia kukojoa mkojo wa damu.
Namimi wiki jana nikakutana na binti (analoa sana na papuna yake ni ya moto na laini sana) then ijumaa akaenda kupima akakutwa na UTI the same na akapewa dozi, mi nilipopima nikaambiwa siko na UTI ipo level ya chini sana nikazane kunywa maji tu.
Issue ni hii.
Binti anapata maumivu makali chini ya kitovu na tumbo linamvuruga, anapatwa na homa kali piah usiku na dawa alizopewa ni kama hazimsaidii, hofu yangu kubwa ni kama pengine ni ukimwi.
Je yawezekana kuambukizwa ukimwi endapo muathirika kaupata ndani ya wiki moja?