Pole sana , nilipoteza baba angu nikiwa na mwaka mmoja, nikajapoteza tena mama angu nikiwa na miaka sita, mpk Sasa bado nakula msoto wa maisha lkn naamini Mola hamtupi mja wake..
Amejibu vizuri isipokua sababu moja ambayo unaitaka wewe hakuitaja ya kwanini futi 6 tuu na si zaidi ya hapo..
Sasa ukiangalia ktk taratibu za mazishi ktk baadhi ya imani nikwamba lazima watu kadhaa waingiemo kweny kaburi ili kupokea mwili wa marehem na kuulaza ndani yake, hivyo futi 6 ndio kina...
Kumchukia tajiri haikufanyi wewe uondokane na umaskini, yani watz tuna mengi ya kujifunz kutoka Kenya wenzetu wako mbali mno japo watz hatupendi kukubali ukwel huu.
Tunahitaji mabadiliko ya kimfumo haraka iwezekanavyo kama taifa tupige hatua la sivyo tutakua tunapiga mark time kila term.
Starehe mnazipenda ila mwisho mbaya,
Wengi wamefilisika kwa kuendekeza umalaya,,
Sasa alipokua anakula mbususu pekupeku alitegemea nini,,?
Huko ndo ulijali apambane...
Pole sana, kabla ya kupeleka malalamiko yabidi uenee kila idara yaani leseni halal ya udereva, bima ya pikipiki pa1 nk.
Nianze kujib swali lako,, kwa barabarani sehem husika ya kufikisha malalamiko kureport kwa askali wa usalama barabarani yeye ndio atakayehusika na kuchunguza ramani ya ajali na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.