Recent content by tonii herrera

  1. tonii herrera

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    IT Leo namna Gani Tena 😃😃😃
  2. tonii herrera

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Sifhani km Kuna ukweli mm mwaka Jana nilifanya oral January na mwaka nimeingia Tena oral nimefanya na zote Bado zipo kijani selected for oral.pengine mtandao ukicheza unaharibu vitu unaweza kuta vyeti havipo badae vinarudi
  3. tonii herrera

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Umepangwa huko nn mkuu😃😃😃😃
  4. tonii herrera

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Tusubiri Tena kesho mida ya lunch 6:50 mpaka saa 1:00 IT anabonyeza batani ya PDF alafu anaenda kula tunabaki tunahangaika😂😂😂
  5. tonii herrera

    JamiiForums Tanzania Usimruhusu mkeo apost insta picha zake wala aende Gym

    Km Eva alikula tendo nyie msile kwann??
  6. tonii herrera

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hongera sana mkuu h
  7. tonii herrera

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo na msabato ni 60% percent kuhusu siku ya sabato na 40% ni kuhusu wakatoliki. Mind you haumjamuuliza chochote kuhusu sabato au wakatoliki

    Mimi huwa wakija nawapa sana za uso hasa ile ishi ya utabali wa Ellen mwisho wa Dunia kubuma mwaka 1848 great disappointment huwa naweweza sana na uhusiano wao na yehova hapo sijatumia biblia Bado nacheza na historia na mapokeo nikija kwenye biblia na ponda kicheani namalizia na mapokeo nashinda...
  8. tonii herrera

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo na msabato ni 60% percent kuhusu siku ya sabato na 40% ni kuhusu wakatoliki. Mind you haumjamuuliza chochote kuhusu sabato au wakatoliki

    Hawali pia kiki mwenye matege😃soda km Pepsi na koka hawanywi,viatu vikivyopinda sijui majani ya chai mara kambale eti Hana magamba ana ndevu
  9. tonii herrera

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hongera sana mkuu.nami naamini aliekutendea atanitendea nami kwa sababu ni Mungu Baba wa haki🙏🙏
  10. tonii herrera

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Nilikuwepo siku hyo aisee noma sana
  11. tonii herrera

    JamiiForums Tanzania PICHA YA SIKU: Namna Walinzi Wa Rais Samia Walivyo Makini na Hodari Katika Kumlinda

    😂😂😂😂😂😂😂
  12. tonii herrera

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Duuh pole sana mkuu
  13. tonii herrera

    JamiiForums Tanzania Waislamu kuweni wavumilivu

    Alieishusha Quran ndie adui wetu hayo maneno yapo wapi ktk Quran nani aliyasema?adui wa shetani ni nani
  14. tonii herrera

    JamiiForums Tanzania Ni wazi sasa Polepole yuko kwenye mapambano rasmi

    Mpishi anasema tyari chakula wewe umegaa sebuleni unasema bado
  15. tonii herrera

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Dodoma pa kifala sana yaani km mji wa utalii Arusha vitu gharama balaa lodge ni 25,mpk 30.kwa sie wasaka tongue ni parefu sana
Back
Top Bottom