HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Bado sisi tu aisee
1001118308.png
 
Hongera sana mkuu ukawe mtumishi mwema , aya tunaomba mwongozo wa hilo swali namna ulivyojibu tuliobaki tijifunze njia ya kupita
Mkuu kwa hali ya nchi ilivyo sasa kwa muktadha huu nilitaja.

1. Corruption
2. Confidentiality and integrity siri za serikali zinavuja sana siku hizi hii pia ni challange kwa position yangu
3. Gender issue nazani unaelewa hapa kati ya me na ke
4. Limited resource na qualified personel.
5. Time management kwa sababu za muingiliano wa kazi na majukumu kuwa mengi muda ni mchache unakuwa subjected kufanya kazi kwa muda zaidi

Mimi niliweka hizo kwa position yangu kama afisa tawala
 
MSIJE KUTUTAWALA SASA😪
 
Thanks mkuu
 
Thanks mkuu
Pia kwa kuongezea....wakiuoiza challange za kazini kwako wanaexpect sana utoe suluhisho..

Mfano Mimi nioiuoizwa hivo nikamention changamoto ila maelezo niliselezea nitakavyosolve

Mfano multiple selections niliitaka nikasema I will solve this challange by reviewing the selected andidates twice and thrice to remove this error, also I will involve digital materials computer ,AI to remove any similar errors.
 
Back
Top Bottom