kesho ndo kasisaaa hii mpaka j3 nahis..Leo asali haijalambwa.
Tusubiri kesho.
Mambo hayo, nitaleta ushuhudaUtalamba 5k
Umepangwa huko nn mkuu😃😃😃😃wahuni wameona wasituache hivihivi wakakatupiga na la halmashauri ya pangani... 🤣 🤣 🤣
Sasa unadhani utapewa sh ngap na itakusaidia kwa siku ngapi, guys em acheni unyonge wa kipumbavuUsisahau sasa kaka mwisho wa mwezi 😂😂😂
Acha ungeseHivi kumbe kuna watu baada ya oral interview accounts zao huwa zinaandikwa not selected for oral interview?
Kuna mwamba alipiga accounts officer ii mwezi wa 4 huko kaingia leo kwenye account yake kakuta kaandikiwa not selected for oral interview na wakati mpaka kufikia jana ilikua inasoma selected for oral interview.
Sasa hy itakusaidia nn sasa, c siku nusu siku tuu then unarudi kwenye hali yako.Mambo hayo, nitaleta ushuhuda
Hiyo ni sadaka, Hali mbaya mkuuSasa unadhani utapewa sh ngap na itakusaidia kwa siku ngapi, guys em acheni unyonge wa kipumbavu
Sadaka kakaSasa hy itakusaidia nn sasa, c siku nusu siku tuu then unarudi kwenye hali yako.
H ungemfata pm mmalizane inatosha mzee, Acha kutia huruma usio na maanaHiyo ni sadaka, Hali mbaya mkuu
huruma Tena mkuuH ungemfata pm mmalizane inatosha mzee, Acha kutia huruma usio na maana
Bas tulia usitupigie kelele hapanapenda
Bas tuliaNisha report
Sifhani km Kuna ukweli mm mwaka Jana nilifanya oral January na mwaka nimeingia Tena oral nimefanya na zote Bado zipo kijani selected for oral.pengine mtandao ukicheza unaharibu vitu unaweza kuta vyeti havipo badae vinarudiHivi kumbe kuna watu baada ya oral interview accounts zao huwa zinaandikwa not selected for oral interview?
Kuna mwamba alipiga accounts officer ii mwezi wa 4 huko kaingia leo kwenye account yake kakuta kaandikiwa not selected for oral interview na wakati mpaka kufikia jana ilikua inasoma selected for oral interview.
Ebu nisaidie buku tatu hapo mkuu sijala jion ya leoH ungemfata pm mmalizane inatosha mzee, Acha kutia huruma usio na maana
Endelea kuwepo JF, ntakutumia.Ebu nisaidie buku tatu hapo mkuu sijala jion ya leo