I
Soon watatoa wanasubir nazile za TCDC wefanya mwezi wa sitaCooperative officer II wanatoa mdogo mdogo sana
Soon watatoa wanasubir nazile za TCDC wefanya mwezi wa sitaCooperative officer II wanatoa mdogo mdogo sana
kozi gan mkuuBaada ya Kufanya application 53, kuwa shortlisted mara 38, ku attend interviews 20 na mwisho kuingia Oral 3.
Hatimaye leo hii nmeitwa Kazini.🙏🏽🙏🏽.
Msikate Tamaa wakuu
Niko mtaani mwaka wa 8 huu toka nimalize chuo.
Hivi kwa nini walizitenganisha na zile za MDA & LGA?I
Soon watatoa wanasubir nazile za TCDC wefanya mwezi wa sita
TCDC nadhani ndo mwajiri huku kwingine ni tamisemiHivi kwa nini walizitenganisha na zile za MDA & LGA?
Na TCDC alikua anataka watu waliosoma mucobs tuTCDC nadhani ndo mwajiri huku kwingine ni tamisemi
Nitag ile simulizi yakoLeteni shuhuda wakuu
Ina nini mkuu mbona ukuNitag ile simulizi yako
Wewe hupendi poshoMkuu utasikia wanafanya vikao kazi, semina elekezi, kamati ya kufanya upembuzi yakinifu, ni urasimu kwenye kila kitu na posho tu
Ndiyo utaratibuserikali nyingi duniani huendesha mambo yake kwa mfumo huo, sijajua kwanini ipo hivyo.
duhh hatari mie ningeripoti siku ileile pdf lilivotoka.ningewashangaza 🤣Akiripot kabla ya tarehe 15 anapewa
Nauli kama unayo,fasta tuduhh hatari mie ningeripoti siku ileile pdf lilivotoka.ningewashangaza 🤣
Wanakupokea vizur kabsaa maana tayar majina wanayo yaan hata ukiripot masaa mawili tangu PDF itoke wanakupokea chap kwa harakaduhh hatari mie ningeripoti siku ileile pdf lilivotoka.ningewashangaza 🤣
Kazi kweli kweliTusubiri Tena kesho mida ya lunch 6:50 mpaka saa 1:00 IT anabonyeza batani ya PDF alafu anaenda kula tunabaki tunahangaika😂😂😂
napendaNdiyo utaratibu
Wewe hupendi kulamba posho
MDA = MINISTRIES, DEPARTMENTS, AUTHORITIESTCDC nadhani ndo mwajiri huku kwingine ni tamisemi