HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Baada ya Kufanya application 53, kuwa shortlisted mara 38, ku attend interviews 20 na mwisho kuingia Oral 3.

Hatimaye leo hii nmeitwa Kazini.🙏🏽🙏🏽.

Msikate Tamaa wakuu

Niko mtaani mwaka wa 8 huu toka nimalize chuo.
Hongera sana mkuu kwa kuwa mvumilivu! Kuna watu hapa wana mwaka tu ila wanalia mno!
 
Baada ya Kufanya application 53, kuwa shortlisted mara 38, ku attend interviews 20 na mwisho kuingia Oral 3.

Hatimaye leo hii nmeitwa Kazini.🙏🏽🙏🏽.

Msikate Tamaa wakuu

Niko mtaani mwaka wa 8 huu toka nimalize chuo.
Hongera sana ndugu
 
Pongezi nyingi kwako
 
Hongera sana mkuu h
 
Serikali imetangaza ajira moja tu nchi nzima!!
 
Attachments

  • Screenshot_20260709_062646_Opera Mini.jpg
    Screenshot_20260709_062646_Opera Mini.jpg
    83.8 KB · Views: 12
Back
Top Bottom