Kutoka DSM ad moro kwa gari 13k na SGR 13500
Kutoka msamvu stand adi soko la chief kingalu kwa boda elfu mbili au ukipanda bajaji ni 500 sema haifiki chief kingalu itabidi utembee kama dakika 2 kwawewe mgeni panda boda itakuwa rahisi unamwambia chief kingalu zinapo park gari za kwenda mzumbe mlali
Kutoka kingalu adi mzumbe main gate, au kanisanii au changarawe ni buku moja
Kuna lodge za 10 adi kumi na tano na kwenda mbele sema lodge kule n chache haswa na upande wa chakula ni affordable price
NB: Lodge nyingi zipo sangasanga n njia panda ya kwenda mzumbe na kwenda iringa so unaweza kulala ata apo sangasanga na morning ukaenda mzumbe na Boda au ukaenda kutafuta lodge maeneo karbu na chuo ni wewe
Kila la kheri