HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Nilivyoiona hii venue ,, imenikumbusha interview ya T.R.A ,, auditorium pale Dodoma ... Kwa kweli sitokuja kwenda tena Interview za T.R.A kama wataziendesha wenyewe labda zipitie utumishi ...
Nilikuwepo siku hyo aisee noma sana
 
Mungu huyu Mungu ni mkubwa sana....Asante kwa Mungu kwamaana Ile hofu ya maisha ya kesho yangu yote ameifuta leo....

Wakuu nawashukuru wote humu ndani Mwifwa Rahsully El marabiosh na wengine wote asanteni sana wakuu wangu....

Leo nimepata kazi....siwezi kuelezea ukuu wa Mungu wakuu sijui sijui na sielewi...

Aminini ya kwamba kama mimi nimepata kazi basi wote humu ndani tunao uwezo wa kupata kazi na kusaidia familia zetu wakuu ....

Am very happy am over the moon aiseh....

Nikitulia nitatuma maelezo ya kuanzia maandalizi hadi kupata kasi
 
Hongera Sana mkuu kapige kazi hizo shuhuda ni marketing Tosha zinatupa moyo wakusubiri na Sisi muda wetu
 
Amen mkuu wangu amini kwamba muda unakuja kwakweli ...nilikuwa nikiona wengine wanasema wamepata kazi naona kama mimi siwezi pata...

Lakini leo imebadilika tusiache kuhudhuria interview wakuu maana nafasi zilikuwa 2 tu na tumetoka 2000+ hadi kupata God is good
 
Wakandaji wanaendelea kuwatia moyo😆😆
 
Attachments

  • IMG-20250904-WA0024.jpg
    IMG-20250904-WA0024.jpg
    445 KB · Views: 24
Amen mkuu wangu amini kwamba muda unakuja kwakweli ...nilikuwa nikiona wengine wanasema wamepata kazi naona kama mimi siwezi pata...

Lakini leo imebadilika tusiache kuhudhuria interview wakuu maana nafasi zilikuwa 2 tu na tumetoka 2000+ hadi kupata God is good
Hongera sana

Wamekuchukua Admission officer NACTVET?
 
Mungu huyu Mungu ni mkubwa sana....Asante kwa Mungu kwamaana Ile hofu ya maisha ya kesho yangu yote ameifuta leo....

Wakuu nawashukuru wote humu ndani Mwifwa Rahsully El marabiosh na wengine wote asanteni sana wakuu wangu....

Leo nimepata kazi....siwezi kuelezea ukuu wa Mungu wakuu sijui sijui na sielewi...

Aminini ya kwamba kama mimi nimepata kazi basi wote humu ndani tunao uwezo wa kupata kazi na kusaidia familia zetu wakuu ....

Am very happy am over the moon aiseh....

Nikitulia nitatuma maelezo ya kuanzia maandalizi hadi kupata kasi
Hongera sana mwanangu kanda..

Hakika siku yako imefika..

Ukawe mtumishi mwema brother..pia usiache kuja kuwatia moyo wapambanaji wote humu.
 
Mungu huyu Mungu ni mkubwa sana....Asante kwa Mungu kwamaana Ile hofu ya maisha ya kesho yangu yote ameifuta leo....

Wakuu nawashukuru wote humu ndani Mwifwa Rahsully El marabiosh na wengine wote asanteni sana wakuu wangu....

Leo nimepata kazi....siwezi kuelezea ukuu wa Mungu wakuu sijui sijui na sielewi...

Aminini ya kwamba kama mimi nimepata kazi basi wote humu ndani tunao uwezo wa kupata kazi na kusaidia familia zetu wakuu ....

Am very happy am over the moon aiseh....

Nikitulia nitatuma maelezo ya kuanzia maandalizi hadi kupata kasi
dah Kandambili1 ndugu yangu sijui hata nisemeje maana ilikua ni jasho machozi na damu.ndugu yangu itoshe tu kusema hongera sana mkuu, pia utuombee na sie tuliobaki tutoboe...
 
atleast nimepata moyo aisee maana niiliisi kama mkosi kwa sisi waandisi wa electrical na mechanical..
 
dah Kandambili1 ndugu yangu sijui hata nisemeje maana ilikua ni jasho machozi na damu.ndugu yangu itoshe tu kusema hongera sana mkuu, pia utuombee na sie tuliobaki tutoboe...
Asante sana ndugu yangu naamin wakati wako na wengine wote unakuja mkuu....maana oral yangu ilikuwa ngumu na nilijichanganya sana mkuu....

Ila Mungu aliamua Mimi kandambili nipate placement leo kusaidia ndugu zangu...
 
Habari wanajukwaa. Mapambano yanaendelea , ukitoka kwenye placement unakuja stress za kupigiwa simu kuanza kazi.
kwel wanachukua mda mrefu sana mpk kupata barua ya kuanza kazi sijui kwa nin
 
Back
Top Bottom