Taarifa kwa Vyombo vya Habari, April 09, 2013 Bunge lijadili ripoti za CAG kwa Uwazi
Sikika inapenda kuamini kwamba taarifa zilizochapishwa kwenye magazeti mbali mbali kuhusu Bunge kutojadili ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) katika mkutano huu wa 11, ama...
Introduction
Sikika is a non-governmental organization that advocates for quality health services for all Tanzanians. The organization works to ensure equitable and affordable quality health care services through social accountability monitoring of health systems at all government levels. For...
Introduction
Sikika is a non-governmental organization that advocates for quality health services for all Tanzanians. The organization works to ensure equitable and affordable quality health care services through social accountability monitoring of health systems at all government levels. For...
TAARIFA YA KUKITHIRI KWA UHABA WA DAWA ZA MALARIA NCHINI
1. UHABA WA ALu
Dawa muhimu za malaria zijulikanazo kama dawa mseto (ALu) zimeripotiwa kuadimika katika vituo vingi vya huduma za afya vya umma. Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kupitia mradi wa msonge (vertical program)...
Sikika imefurahishwa na taarifa za Wizara ya Afya kuhusu hatua ambazo imechukua hadi sasa kufuatia sakata la dawa bandia za kupunguza makali ya virusi vya UKIMWI. Hata hivyo taarifa ya wizara iliyotolewa na Waziri wa Afya ndugu Hussein Mwinyi imetuacha na maswali kadhaa kama ifuatavyo;
TANZANIA, like most African countries, is endowed with vast, various and valuable resources including forestry, minerals, and hydrocarbons like crude oil and natural gas. However, the country is also among the poorest in the world with two-thirds of the population living in extreme poverty (less...
Hivi watu wa Jf mtanataka habari ikamilike vp?Mwenzetu katoa taarifa hapa kwamba Muro kaachiwa huru sasa utanaka habari gai tena au angesemwa kafungwa ndo ungesikia raha paha.Acheni hizo bwana
Mi nadhani tusipende kurumbana sana jamani napenda sana hii forum ya Great thinker, jana niliona kipindi vizuri sana alichokua anajaribu ni kusimulia ni jinsi gani alivyoachizwa kazi.Ni kweli ni kutokana na uzembe wa technician wale walioko behind the scene walikubaliana na wagome ila Hando...
Hili ni balaa sasa Arusha jamani.Polisi huwa siku zote kumbe ni waongo sana wanasema Mbowe kakimbia wapi na kama alikimbia kwa nini walishindwa kumkamata? Hawa polisi vipi jamani?
Hili lako naona ni suala la msingi sana kinachotakiwa ni kwamba sasa dunia ielewe CDM wanachokifanya kwa wakati huu na sio tena zile siasa uchwara za kila siku.
Mimi nashangaa kitu kimoja japo huwa sipendi kushangaa katika maisha yangu ila kama binadamu sasa inabidi nishangae tena sana.Nimesoma comments za watu wengi naelewa kinachoendelea hapa ni nini sasa jamani.Kwanza kabisa tukubali kabisa kwamba Zitto anajisahau sana jamani mwaka jana wakati...
Huo mwana ni msala sana jamani ila kabla ya yote inabidi na sisi kwanza tujiulize kwa sababu wamefanya Ngono zembe inawezekana kwanza hawa watu sio wazima kabisa cha kuwashauri kwanza wakapime Afya zao alafu mengine baadae. Ila kitu kingine ni kwamba chako kula na nduguzo bwana we umeeewacha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.