Kanga moko ndembe ndembe!

Kanga moko ndembe ndembe!

Hivi vitu ndio watanzania wanavipenda!
Ukiwambia wajiandikishe kupiga kura hawataki. Haya endeleni na Kanga Moko
 
Napita wakuu...nimepotea njia!ha ha ha haaaaa...laki ni pesa!
 
Dada hawa Kanga moko(sio moja) wanapatikana Continental hotel-mjini kila jumatano na jumanne wanakuwepo Masai club-karibu na Mango garden. Show yao inaanza saa 7 usiku.Usitishwe na mtu hayo mambo ya Tigo ni tabia ya mtu nenda uone wenzako wanavyokatika ili uboreshe kwako. Usiwe na wasiwasi nenda na mumeo hata wengine huja nao,si uko pembeni abiria ukichunga mzigo wako ?

KWA kweli wana JF nashukuru sana kwa kunijuza! Yaliyaobaki ni mimi mwenyewe, kama nitamfunga kahanga au la!
 
Jamani wana JF labda mimi ni mshamba sana. Nimekuwa nasona, nasikia na kuona matangazo ya Khanga moja! Ni kitu cha namna gani? Natamani sana kumwomba mume wangu anipoeleke maana nasikia wako based pale continental lakini nahisi balaa! mwanamke mwenye khanga moja iliyoloa ndembe ndembe, mume wangu nitarudi naye kweli?

Kingine, watanzania tumekuwa na tabia ya kulinda maadili.... swala la khanga moja linanitisha... naomba mnijuze.

Ukienda sehemu na Mumeo, watu wamevaa balaa balaa, unatakiwa uvae sexy na ujimake kimvuto kwelikweli ili asiwe anapapasa macho kwa wengine hovyo, awe yuko attetion kwako pia, kila mwanamke akiamua kujipendezesha, anavutia, usijishushe, jimake ipasavyo na utoke naye
 
Jamani wana JF labda mimi ni mshamba sana. Nimekuwa nasona, nasikia na kuona matangazo ya Khanga moja! Ni kitu cha namna gani? Natamani sana kumwomba mume wangu anipoeleke maana nasikia wako based pale continental lakini nahisi balaa! mwanamke mwenye khanga moja iliyoloa ndembe ndembe, mume wangu nitarudi naye kweli?

Kingine, watanzania tumekuwa na tabia ya kulinda maadili.... swala la khanga moja linanitisha... naomba mnijuze.

Ukienda sehemu na Mumeo, watu wamevaa balaa balaa, unatakiwa uvae sexy na ujimake kimvuto kwelikweli ili asiwe anapapasa macho kwa wengine hovyo, awe yuko attetion kwako pia, kila mwanamke akiamua kujipendezesha, anavutia, usijishushe, jimake ipasavyo na utoke naye kwenda huko Continental.
 
Kwani wao waweze wana nini, hata wewe ushindwe una nini!, komaa nao, usimwachie mtu Mumeo kirahisirahisi my Sister.
 
Njoo siku nkupeleke...mme wako akisafiri,au aga unaenda kwa frnd wako
 
Ili kitu balaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!,japo wadada wanajipatia chapaa lakini ni Ufilauni ule.
 
Sio wito. Ni mambo ya ufalme wa shetani. Ndio maana yanafanyika usiku sana. Inabidi kusali sana kwa ajili ya tanzania,ndio maana mvua hazinyeshi,ajali haziishi etc yote hii ni laana kutoka kwa mungu kwa ajili ya ushetani kama huu.

Haya ni mapepo tuyakemee!!! Ukiona unatamani kwenda kuangalia jua pepo linakushawishi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom