Recent content by Tofty

  1. T

    JamiiForums Tanzania Kiwanja Mbweni JKT na Malindi

    Habari wadau, Naulizia bei za sasa hivi za viwanja Mbweni JKT na Mbweni Malindi. Natumani kwa sasa zitakuwa zimeshuka kutokana na hali ya sasa
  2. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya marumaru (tiles )

    Wadau, Kuna duka lingine ukiacha GoodOne ambalo linauza grade 1 tiles kutoka China?
  3. T

    JamiiForums Tanzania Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

    Tumia shaving power inayoitwa Magic.....inatumiwa na saloons nyingi za Dar
  4. T

    JamiiForums Tanzania Gavana Ndullu wala Bodi ya BoT Haijajiuzulu...

    Nothing......business as usual!
  5. T

    JamiiForums Tanzania Milio ya "risasi" kinondoni - tujuzeni wadau

    Ni fataki around kinondoni area
  6. T

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya ubora kati ya mabati ya viwanda vya ALAF na ANDO

    Wadau, Napenda kujua tofauti ya ubora kati ya mabati yanayotengenezwa na viwanda hii viwili hapa Tanzania ambavyo ni ALAF na ANDO.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Capt. Komba: CHADEMA inachangia kufeli na kushuka kwa elimu Tanzania!

    Duh! I'm speechless and disappointed :disapointed: hawa ndio wawakilishi wetu bungeni......phew!!!!
  8. T

    JamiiForums Tanzania Papai: Kinga ya ugonjwa wa moyo, saratani

    Asante mzizimkavu!
  9. T

    JamiiForums Tanzania Ngumi iliyookoa Maisha yangu...!

    How ironic.....comment ya kwanza imetoka kwa kakaJambazi........
  10. T

    JamiiForums Tanzania Naaam, Star TV ndani ya DSTV - Channel 291

    Safi sana!
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kukatikakatika kwa umeme jijini Dar es Salaam

    Kumekuwa na ongezeko la kukatika kwa umeme kujakotokea maramkwa maramkwenye maeneo menginya jiji la Dar huku Tanesco ikisema kwamba hakuna mgao wa umeme. Ningependa kujua ni nini hasa kinachosababisha hii na ni kwa nini Tanesco hawawi wakweli na kuwaeleza wananchi nini hasa kinaendelea...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Head bumps

    Kuna dawa ambayo mimi nimewahi kuitumia inayoitwa Acrason. Ip lwenye tube na inafanya kazi vizuri tu na inapatikana kwenye pharmacies mbali mbali.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Majipu

    Na mimi pia mtoto wangunwa mwaka mmoja na nusu ametoka majipu kuanzia wiki mbili zilizopita. Nafikiri hii inasababishwa na kipindi cha joto ambacho tunacho sasa hivi. Wacha tuache doctors waje watupe medical explanation.
  14. T

    JamiiForums Tanzania MBA grading scale

    Hio ni system failure ya ARIS. Mwisho wa siku C ni Fail. Muulize swali hili Dr. Mbamba (Dean) na atakupa ufafanuzi zaidi.
  15. T

    JamiiForums Tanzania Can I Borrow USD$ 5?

    This is very true. Very touching indeed!
Back
Top Bottom