Capt. Komba: CHADEMA inachangia kufeli na kushuka kwa elimu Tanzania!

sasa wanaofeli ni form 4, na cdm wanakwenda kwa watu wa chuo ambao wameshafauli na ndio maana wapo vyuo au ndio huko kufikiri kwa kutumia masaburi?

kwani vyuoni wanafauru wote so mzima mkuu.
 
Something is very wrong somewhere!

Labda hajaongea haya. Para ya pili haiwezekani ikaongelewa na Mhe. Mbunge tena mwanaume. Tell me umeongeza chumvi.

Tunakosa wa kumbebesha lawama tunafikia kwenda this low? Siamini kayaongea hayo

Mkuu inawezekana kasema si ni mkurugenzi wa TOT Taarabu huyooo
 
Akichangia bungeni mbunge wa Nyasa - Mbinga Capt Komba amesema CHADEMA ni chama kinachochangia kushuka kwa elimu kwa sababu kimekuwa kikienda vyuoni na kuhamasisha migomo na mandamano na kufanya wanafunzi washindwe kusoma kwa utulivu.

Ameenda mbali zaidi kwa kuwaita CHADEMA kuwa wana kisebusebu na kiroho pabo na ndiyo maana jimboni kwake Mbinga na Nyasa CHADEMA wamekataliwa.
Sasa hiyo ndio pointi gani, bora ashikilie tu usanii utadhani alikua anatunga wimbo.
 
R.I.P mangwea aka cow boy aka mtoto jah kaya aka mnyama aka mzee wa kula bata.
 
Chadema wanawatumia walimu kudhoofisha elimu nchini mwetu, walimu kila siku mgomo, wanafunzi watafaulu??
Huna tofauti na Komba anayedhani kuchangia hoja ni sawasawa na kuimba taarabu. Use your head and not your toes. Can you mention a single day ambayo shule zilifungwa halafu wakaenda kwenye maandamano? Watu kama nyie mngeanza kujihurumia kwa kuwa kufikiri kwenu kumefikishwa hapo na mfumo mbaya wa elimu. Badala ya kutambua hilo utafute shule uonge ujuzu unaleta utumbo. Pole.
 
Tumbotumbo amesahau kwamba yeye amechangia kwa kiasi kikubwa kuwaharibia elimu watoto kama akina Lulu NA wale wengine anaowagegedea pale Blue berry guest house, nyuma ya Cafe Latino, Sinza ambapo Ana chumba chake anachokilipia kodi ya mwaka? Au lile anaona ni darasa la tuition la kuwafunzia mabinti jinsi ya kutumia Kabang?
 
Na huyo ndio wanambinga wameona anafaa kuwwakilisha ktk bunge na fikra na mawazo nchi yetu isonge maendeleo!?

Nasema tena sababu kubway umaskini wetu ni sisi wapigaKURA. Mimi huwa hainiingii akilini mtumzima unaenda kupanga mstari wa kwenye uchaguzi eti kwa ajilii ya kuchagua KOMBA, LUSINDE, MAJI MAREFU etc of the same time.

Eeh Mungu baba wape ufahamu wa akili watz wenzangu.
 
Akichangia bungeni mbunge wa Nyasa - Mbinga Capt Komba amesema CHADEMA ni chama kinachochangia kushuka kwa elimu kwa sababu kimekuwa kikienda vyuoni na kuhamasisha migomo na mandamano na kufanya wanafunzi washindwe kusoma kwa utulivu.

Ameenda mbali zaidi kwa kuwaita CHADEMA kuwa wana kisebusebu na kiroho pabo na ndiyo maana jimboni kwake Mbinga na Nyasa CHADEMA wamekataliwa.
Ndo tatizo la kufikiri kwa kutumia tumbo..matokeo ni tumbo kuwa kubwa kuliko kichwa kama unabisha weka picha yake hapa

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Duh! I'm speechless and disappointed :disapointed:

hawa ndio wawakilishi wetu bungeni......phew!!!!
 
Something is very wrong somewhere!

Labda hajaongea haya. Para ya pili haiwezekani ikaongelewa na Mhe. Mbunge tena mwanaume. Tell me umeongeza chumvi.

Tunakosa wa kumbebesha lawama tunafikia kwenda this low? Siamini kayaongea hayo
hajaongeza neno hata moja na wala hajaongeza chumvi ndugu yangu!
yani jamaa(komba) ametia kinyaa, katokwa na povu kwa kuongea pumba tuuuuuu. ahhhh watu wengine wanaingiza siasa kwenye mambo ya msingi??!!! pum....bafffffffff
 
Akichangia bungeni mbunge wa Nyasa - Mbinga Capt Komba amesema CHADEMA ni chama kinachochangia kushuka kwa elimu kwa sababu kimekuwa kikienda vyuoni na kuhamasisha migomo na mandamano na kufanya wanafunzi washindwe kusoma kwa utulivu.

Ameenda mbali zaidi kwa kuwaita CHADEMA kuwa wana kisebusebu na kiroho pabo na ndiyo maana jimboni kwake Mbinga na Nyasa CHADEMA wamekataliwa.
Khaa!!
 
Something is very wrong somewhere!

Labda hajaongea haya. Para ya pili haiwezekani ikaongelewa na Mhe. Mbunge tena mwanaume. Tell me umeongeza chumvi.

Tunakosa wa kumbebesha lawama tunafikia kwenda this low? Siamini kayaongea hayo

mkuu uliza mwingine aliyesikiliza bunge sikulazimishi kukubali.
 
Tumbotumbo amesahau kwamba yeye amechangia kwa kiasi kikubwa kuwaharibia elimu watoto kama akina Lulu NA wale wengine anaowagegedea pale Blue berry guest house, nyuma ya Cafe Latino, Sinza ambapo Ana chumba chake anachokilipia kodi ya mwaka? Au lile anaona ni darasa la tuition la kuwafunzia mabinti jinsi ya kutumia Kabang?

Mkuu kama unakucha kuwa makini..kwa watu dizaini yako kucha zako kwao dili

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Tumbotumbo amesahau kwamba yeye amechangia kwa kiasi kikubwa kuwaharibia elimu watoto kama akina Lulu NA wale wengine anaowagegedea pale Blue berry guest house, nyuma ya Cafe Latino, Sinza ambapo Ana chumba chake anachokilipia kodi ya mwaka? Au lile anaona ni darasa la tuition la kuwafunzia mabinti jinsi ya kutumia Kabang?
mkuu haya mambo jf hawataki mkuu siyo mazuri achana nayo.
 
Something is very wrong somewhere!

Labda hajaongea haya. Para ya pili haiwezekani ikaongelewa na Mhe. Mbunge tena mwanaume. Tell me umeongeza chumvi.

Tunakosa wa kumbebesha lawama tunafikia kwenda this low? Siamini kayaongea hayo

Mkuu cha kushangaa nini?kwani kabla hajaja bungeni CV yake inasema alikuwa ni nani?!

Back
Top Bottom