Habari wadau,
Naulizia bei za sasa hivi za viwanja Mbweni JKT na Mbweni Malindi. Natumani kwa sasa zitakuwa zimeshuka kutokana na hali ya sasa
pata kiwanja sqm 1520 chanika buyuni kwa bei nzuri kabisa...
kiasi gani?pata kiwanja sqm 1520 chanika buyuni kwa bei nzuri kabisa...
kiasi gani?
We utakuwa una matatizo si bure, kila sehemu unaweka tangazo ukiulizwa bei husemimkuu una shilingi ngapi ?nikuachie hii mali.......... can be yours...!
![]()
njoo PM mkuuWe utakuwa una matatizo si bure, kila sehemu unaweka tangazo ukiulizwa bei husemi