The most bogus bank gavana we have ever had.
So whats your point mwanakijiji? This guy bwana. Habari zipo na za ukweli. Unaleta ngendembwe!!
The king.
Hivi kama Marekani na huko Cyprus wasingechukua hatua au kusema kitu tungefanya nini?
Hivi kama Marekani na huko Cyprus wasingechukua hatua au kusema kitu tungefanya nini?
Hivi kama Marekani na huko Cyprus wasingechukua hatua au kusema kitu tungefanya nini?
Tatizo la Ndullu ni Umarekani wake! Hawa Technocrats wa USA huwa wanatenda kwa maslahi ya Marekani! Pale alipo amewapangisha AFRITAC/IMF na Pembeni yake ameongezewa Asharose Migiro ili waweze kutekeleza sera za Marekani ndani ya Tanzania... Wengi wetu bado tunadhani kuwa Economic Hit Men (EHM) ni Story tu na kuwa hazina ukweli wowote!!! Ndullu Familia yake inaishi Marekani miaka mingi, yeye huwa hajali ukuaji wa Uchumi wa Tanzania wala Mfumuko wa Bei!!! yeye anachokiangalia kwa makini ni TORs alizopangiwa tu si zaidi ya hapo... Believe or not uchumi wa Tanzania unakua kwenye Makaratasi tu!!! Situation ingekuwa mbaya zaidi kama JK asingeingia mikataba na CHina angalau ku-equalize hawa Super power wa dunia hii...
MMK kinachonishangaza ni tabia ya kila mtu sasa ivi kuwa na kabenki kake, utaona mtu ni mhindi amewekza af anakuja na kabenk kake.................sijui kwann nchi hii imekuwa hivi
ni kweli kabisa mkuu. hata EQUITY BANK ni benki ya familia moja tu. nchii hii ni shamba la bibi.
Huitaji Kuwa layman kujua haka kabenki ka FBME kanatakasa pesa, unafikiri kalikuja bongo kubahatisha? Sema marekani Ndio wametia sumu kisimani.
I like the animal farm Tanzania,why do you want Ndulu the prof to resign? Stay Ndulu until the last animal die?Kutoka ndani kabisa ya Serikali ...Magogoni hadi kwingine...taarifa kuwa Gavana Ndulu amejiuzulu au bodi nzima imejiuzulu hazina ukweli wowote.
Kuna masuala ya kisiasa yanaendelea pia na mambo mengine katika kutafuta mlango wazi wa BoT kuelekea uchaguzi mkuu...
Hivi sasa Gavana anaendelea na shughuli zake kama kawaida...
Tuwe makini yasiye yakatokea ya fulani... akalazimishwa kuondoka wengine huku wakafunika...
RockSpider usifikiri kwa hasira. Siyo kila mtanzania anayefanya kazi nje anapoteza uzalendo!Tatizo la Ndullu ni Umarekani wake! Hawa Technocrats wa USA huwa wanatenda kwa maslahi ya Marekani! Pale alipo amewapangisha AFRITAC/IMF na Pembeni yake ameongezewa Asharose Migiro ili waweze kutekeleza sera za Marekani ndani ya Tanzania... Wengi wetu bado tunadhani kuwa Economic Hit Men (EHM) ni Story tu na kuwa hazina ukweli wowote!!! Ndullu Familia yake inaishi Marekani miaka mingi, yeye huwa hajali ukuaji wa Uchumi wa Tanzania wala Mfumuko wa Bei!!! yeye anachokiangalia kwa makini ni TORs alizopangiwa tu si zaidi ya hapo... Believe or not uchumi wa Tanzania unakua kwenye Makaratasi tu!!! Situation ingekuwa mbaya zaidi kama JK asingeingia mikataba na CHina angalau ku-equalize hawa Super power wa dunia hii...
RockSpider usifikiri kwa hasira. Siyo kila mtanzania anayefanya kazi nje anapoteza uzalendo!