Wanajamvi
Kuna hali ya sintomfahamu hapa ubalozi mabaruti si mabomu.
Jamani kama ni wao kwa wao nani kawapa kibali.
Watanzania wenye pressure au mistuko afya zao hazina thamani watanzania wenzangu.
Kwa kinachoendelea si kuna siku historia itajirudia kama tunawarusu wafanye wanavyojisikia.
Kama sio wao ni wakina nani? Wanaleta sintofahamu ya watu kuhamaki.
Kazi tunayo kama nchi inaingiliwa
Washukuru enzi ya mwalimu aliyewapa kibali na anayefanya asingecheka na wanahatarisha afya za watanzania na kama ni maadui wangeona MAKACHERO wa Mwalimu wakiwadhibiti.
Hebu viongozi wetu na wanajamvi tuone kinachofanyika sio sifa tuwe na huruma na afya za wenzetu tuchukue hatua.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.