King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 60,433
- 88,777
Tatizo sio tu kuwepo, je ni HD?
Tatizo sio tu kuwepo, je ni HD?
Nasubiria tu na ITV wawe hewani nipunguze idadi ya ving'amuzi nilivyonavyo kwani vishafikia vinne
habari njema kwa watz star tv nw inapatikana channeli namba 291 kwenye dstv
nahisis huu ni mwanzo mzuri wengine nao wanapaswa kuiga atleat tuwe na channeli kama 4 hivi za kibongo dstv
Ni habari njema kwa kweli hasa kwetu sisi watumiaji wa DSTV....