Kukatikakatika kwa umeme jijini Dar es Salaam

Kukatikakatika kwa umeme jijini Dar es Salaam

Tofty

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2008
Posts
206
Reaction score
14
Kumekuwa na ongezeko la kukatika kwa umeme kujakotokea maramkwa maramkwenye maeneo menginya jiji la Dar huku Tanesco ikisema kwamba hakuna mgao wa umeme. Ningependa kujua ni nini hasa kinachosababisha hii na ni kwa nini Tanesco hawawi wakweli na kuwaeleza wananchi nini hasa kinaendelea ukizingatia watu wanalipia service ambayo ni muhimu lakini upatikanaji wake ni wa mashaka.
 
Hususan kigamboni tunapata shida ya umeme kila cku lazma wakate umeme
 
hat Buswelu Mwanza saa moja umeme saa moja hamna saa moja umeme saa moja hamna hadi siku inaisha.
 
Sinza yote nw, hamna umeme na kila siku umeme lazima ukatike!Hii serikali hii .... ptuuuuu
 
huku kijitonyama wamekata umeme.
hakuna mtu wa tanesco humu atuhabarishe.
inaudhi dah!!afaali tungejua kitu gani kinaendelea.
yani ni kimyakimya...
 
Mgao unaendelea naolewake mfanyakazi watanesco atakaetoa siri eti kuna mgao!!Akijulikana tu mabwepandeeeee.....!!!Utamu wahuko amuulize Dr!Kwataarifa nyepesinyepesi nikwamba mgao upo tena siku zingine huwa niule mkali kabisa!!Ila halitakiwi kuwa bayana nikutunga uongo tu then siku inapita!
 
Back
Top Bottom