Recent content by tipitipi

  1. T

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengine njaa ukimuomba pesa kidogo tu anakufungulia uzi

    Eti wanaume ni Malighafi! Jamani.... Nikiwa safari kuelekea Nairobi nilifanikiwa kuonana na mama mmoja Mchaga aliyefanikiwa sana. Ana hoteli Arusha, Moshi na pia ana export kahawa. Nilijiuliza sana huyu mama amewezaje? Ikabidi nianze kumchimba. Aliponiambia wanaume ni Malighafi, nilishtuka...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Hotspot katika mtandao wa halotel

    Nikiweka Halotel line hotspot inatoweka
  3. T

    JamiiForums Tanzania Hotspot katika mtandao wa halotel

    Hata mimi bface
  4. T

    JamiiForums Tanzania Nimebadili mtazamo kuhusu wanawake wanene

    Kumbe ni wajuzi!!! Form 5 ni July ilirekebishwa tu hapo kati kuletwa March!!
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wangu wa Jumuiya anataka tuanzishe mahusiano ya kimapenzi

    Mkatalie tuu!!! Mwambie huwezi kuwa na mahusiano nae.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mgombea Mwenza wa Urais CHADEMA, Juma Duni Haji amerejea CUF huko Zanzibar

    Si mbaya alikuwa mchezaji wa mkopo!!! Muda umeisha amerudi timu ya nyumbani
  7. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimempa ujauzito mchumba wa binamu yangu

    Mpe mimba ingine ziwe mbili
  8. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimempa ujauzito mchumba wa binamu yangu

    Mpe tena tuu!!
  9. T

    JamiiForums Tanzania Ugali unaopikwa kwa Unga wa mahindi (dona) hatari kwa afya ya binadamu

    Hakuna Chakula Salama!!! Tule tuu tusogeze siku tufee.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu ameniomba nizae na mume wake

    Sababu ameshaijua kama ametoa mimba mara 3!!! Hakuna muujiza ashukuru Mungu tuu. Mayai hayo yanakuja kwa hesabu sasa ameharibu mwenyewe asitafute visingizio
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wengi hufeli swali hili wakitongoza?

    Mie naweza kulijibu!!!
  12. T

    JamiiForums Tanzania Vituko vya binti wa mama mwenye nyumba

    Angalia usijibakishe mwenyewe badala ya kubakwa. Kamba zipo nyingi kaanike kwengine pengine amezoea kuanika nguo zake hapo kabla hata hujahamia.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Hamadi Rashidi kufukuzwa chama cha ADC kwa Usaliti

    Duhhh huko nako!!??
Back
Top Bottom