Serikali kuvunja leo mahekalu ya vigogo* Yamo ya Mchungaji Lwakatare, CAG Utouh

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,536
12507604_1018573194873805_7136219184876679265_n.jpg
 
Kama watamvunjia Rwakatare hapo ndio nitaamini kama kweli Tanzania kuna utawala Wa sheria!
 
Waungwana nisaidieni hiyo ajali ya hayo magari niwapi na lini
Maana inatisha..
 
kesi bado ipo mahakamani lwakatare anajua kuvunja sheria alafu anajua kutumia sheria kuhalakisha uvunjaji wa sheria.
 
Yaa kwa sheria tulionayo sawa ila nashindwa kuelewa inakuaje wenzetu huko Hong Kong majengo yao wanakausha bahari maana ardhi ni shida..kiwanja cha ndege kipo baharini na kinaongezwa tena inakuaje sisi na sheria za mkoloni izi eti mita 60 wakati wao hawafati izo mita 60..waterfront hotel capetown ni kivutio kizuri huko kipo baharini,mji wa durban unapendeza kwa majengo yake marefu ambayo ni barabara ndio inatenganisha na bahari..miji mingi mizuri imejengwa pembezoni na bahari na imependeza sana mpaka,,campsbay,seapoint ni Nchi gani ipo nyuma ya hili sakata la sisi bahari tuione kama sumu kwa matumizi yetu..
 
Last edited:
Waungwana nisaidieni hiyo ajali ya hayo magari niwapi na lini
Maana inatisha..
Hiyo ajali ilitokea Jana maeneo ya mbalamaziwa katikati ya makambako na mafinga.

Chanzo cha ajali:

Bus hilo la Luwinzo lilikuwa likitoka Njombe kwenda Dar.
Sasa likiwa kwenye speed kali likataka ku-overtake hilo Lori,mbele kulikuwa na Lori lingine linakuja sasa kuepuka head to head collision Dereva ndo akaamua kuligonga kwa nyuma hilo Lori la mbao.

Vifo na majeruhi:

Dereva himself, konda na utingo died on the spot. Majeruhi pia ni wengi sana.

Source ya habari:
Born again pagan at the scene.
 
Hvi hakuna njia njingine? Is this only way that we may pass through? Clouds TV (2016)
 
Hiyo ajali ilitokea Jana maeneo ya mbalamaziwa katikati ya makambako na mafinga.

Chanzo cha ajali:

Bus hilo la Luwinzo lilikuwa likitoka Njombe kwenda Dar.
Sasa likiwa kwenye speed kali likataka ku-overtake hilo Lori,mbele kulikuwa na Lori lingine linakuja sasa kuepuka head to head collision Dereva ndo akaamua kuligonga kwa nyuma hilo Lori la mbao.

Vifo na majeruhi:

Dereva himself, konda na utingo died on the spot. Majeruhi pia ni wengi sana.

Source ya habari:
Born again pagan at the scene.

Ahsante mdau. Si mchezo hawa madereva wetu.
 
Hii ishu ya kubomoa nyumba ni kama bado kuna kesi, sidhani kama leo ubomoaji utatendeka.
 
hilo ni changa la macho mwakatare atalipwa maana alishinda kesi mahakamani na ana hati miliki, wanyonge ndio wanadanganywa ili wanyamaze wasiidai serikali
 
Back
Top Bottom