Ushauri: Nimempa ujauzito mchumba wa binamu yangu

Ushauri: Nimempa ujauzito mchumba wa binamu yangu

na akioa ajue kaoa cha wote.. binti hajielewi .. jamaa ni mnafki anakula mzigo wa binamu yake huku akiwa anajifanya ndugu inakera sana
Pia akioa mwenye mchumba mara mojamoja atakuwa anammegea na hata hakijua hatokuwa na moral authority ya kukemea.Pia bi dada akiolewa pia katika familiya hawatomtazama vema
 
Pia akioa mwenye mchumba mara mojamoja atakuwa anammegea na hata hakijua hatokuwa na moral authority ya kukemea.Pia bi dada akiolewa pia katika familiya hawatomtazama vema
Kweli kabisa Dada ataingia kwenye vita kubwa
 
Lea tu hiyo mimba, mengine yatajisolve yenyewe
 
Cheap is always expensive. Lazima ukubaliane na matokeo bob
 
Ulianzaje kuishi na mchumba wa binamu yako pekee kwenye nyumba yako tena wa jinsia tofauti na wewe?

Ungeomba ushauri mwanzoni ingekuwa na maana nzuri zaidi
 
Hapo maji hameshamwagika. Kama ni aibu iko ndani yako na yeye. Ni ngumu sana kueleweka ila itawabidi wakubaliane na hali husika. Je, walikuwa wachumba kwa kipindi gani? Je, umeoa? Kama la muoe ingawaje italeta taswira mbaya mbeye ya jamii na ukoo wenu
 
Wapendwa,

Mchumba wa binamu yangu alihamishiwa Dar kikazi kutoka mkoa fulani hapa Tz. Kwa kuwa nina nafasi ya kutosha nyumbani kwangu aliponiomba kuja kuishi hapa kwa miezi kadhaa wakati anajipanga sikuwa na hiyana.

Amefika kwangu mwezi wa 11 ilipofika January tukaanza kufanya ngono, sasa wiki iliyopita amenionyesha cheti cha hospitali kuwa ni mjamzito.

Tatizo sasa binamu na familia ikijua nitakuwa nimeumbuka vibaya.Sina la kufanya, kutoa mimba kwa imani yangu ni sawa na kuua na sitaki kufanya hilo.

Nimekwama ndugu yenu. Mawazo kibao.
Toka november mwaka jana hadi november mwaka huu ni miezi kadhaa hyo we muoe tu hyo sio bahati mbaya
 
Mjini hapa...kato.mbwa na wengi
Kama unadhani ulikua pekeyako basi umeliwa na inawezekana mimba sio yako
 
Jamani miss chagga,nilivyokuwa ninakuheshimu!!!,yaani siamini macho yangu km kweli wewe mwanamke unayejua uchungu na kiumbe unayesifika kwa kuwa na Huruma unaweza kumshauri huyu jmaa kutoa mimba,jamani tuwe na huruma;Hivi wazazi wetu wangetutoa mimba leo hii tungekuwa tunachat hapa JF??,Chonde jamani mawazo ya hivyo yasipate nafasi ktk akili zetu.

imefikia wakati wa kuruhusu utoaji mimba
 
Sawa!!,lkn anapaswa kuelekezwa namna ya kuitunza mimba tu na kukubali kuibeba hiyo aibu,kawaida ya Dhambi yoyote lazima mwisho wake uibebe aibu,sasa akitoa atakuwa ametenda dhambi nyingine ya mauti ya mauaji,wakati akitunza mimba hadi kuzaa atakuwa na dhambi moja tu,pia ieleweke kuwa Utoaji mimba ni hatari anaweza asiishie kumuua mtoto tu,bali hata mjamzito mwenyewe(mchumba wa binamu yake) kupoteza maisha;Ndugu zangu tusitoe tu ushauri kwa mihemko bali kabla ya kumshauri mtu tupime kwenye mzani Madhara yatakayokuja kujitokeza baadaye,Kuzaa hakuna madhara makubwa km kutoa mimba japo yaweza kutokea km bahati mbaya vifo vikawepo lkn yote kwa yote UTOAJI MIMBA NI HATARI NA NI HARAMU.

ushauri ni kutoa tu ndio suluhisho
 
Ko imani yako inajua dhambi ya kutoa mimba tu? Uasherati je? Dhambi ni dhambi mkuu! Usisingizie imani hapo sema tu unaogopa aibu na usaliti.
Kumbatia consequence mkuu
 
Dah urohoo acheni jmn
Ona sasa

Umeharibu marry her
Kutoa mimba sikushauri
 
Back
Top Bottom