Yule mkwere kaharibu sana taifa Letu.
Yaani na wewe umemaliza chuo?
suala dogo kama hili la kutatua mwenyewe,unakuja kulianika hapa?
Kata hiyo kamba basi,kama unaona anakukera
Utakuta Binti wa watu hata habari na wewe hana,Basi tu shobo zako.
Nimechoka wakuu.
Kasomea udaktariKijana umemaliza chuo, mwandiko kama wa bata? Ulikuwa chuo unasomea udereva au chuo cha ufundi cherahani?
unachekesha sanaNa wewe anika kwenye Dirisha lake
Asisubiri mpaka mama amletee mke kama yule mwenzake.Mjomba Mkude hilo nalo tatizo,fanya mpango umuoe mchumbako
heshima kwako mkuu....Kuna siku utaanzisha thread kuwa umelala na mdada kitandani umekuta ana matundu mawili moja katikati ya makalio na jingine chini ya kitovu na utataka tukushauri udumbukize dushe yako kwa tundu lipi.
Mkuu naomba ufafanuzi hapa katika huu msemo wakoMbwa mwenye mnofu mdomoni hapigi kelele