Nimebadili mtazamo kuhusu wanawake wanene

Nimebadili mtazamo kuhusu wanawake wanene

Hivi kweli wajameni JF imefikia hatua ya kudharaulika kiasi hiki mpaka mtu ana post utumbo huu kweli....
Hivi kweli JF tumekuwa watu wa kujadili NGONO kama vile tupo vijiwe vya wavuta bangi badala ya kushauriana masuala ya kuimarisha ndoa....!!!

Nini kimeikumba JF ya sasa...??? Au imebinafsishwa na makampuni yanayozalisha filamu za ngono...???
Hivi kweli jamani post kama hii ndio mtu anaumiza kichwa kuiweka na wengine wanachukua muda wao kuijadili.....???
Jf imejikwaa wapi...???
Teknolojia imekua! Enzi hizo angelitulia na siri yake, ila ndo hivo kichwa bamia siri nje! Njeeee!!!!
 
Unamaanisha hawa?

b6efa5225cad171a92caed4b70f4142b.jpg
52ca40212aafb3e614fde98a608cfa69.jpg
9a3279452fb6424c793d2799e2f7fa24.jpg
a76d1fab6ede4a2f5a25e5653bcf71f6.jpg
f074723dba9dd25eac8b44455270bdaf.jpg
Asanteeeeee.............mkuu umenifanya nianze siku yangu vzr, peponi kuzuri tuu.....unapewa nguvu ya kutafuna mizigo mia kwa siku.
 
Katika kundi la wanawake ninaopenda kuanzisha nao mahusiano au ninaopenda kua nao ni wenye mikia na wasio wanene, wanawake wanene niliwa exclude kwenye preference zangu na wasio na mikia.

Lakini kama mnavyojua simba akiishiwa nyama hula majani ili tu asife,nami hivi karibuni nikawa nimempata mwanamke mnene, nimeenda nae kichwani nikkwa na akili kua wanawake wote wanene ni magogo kitandani kumbe sijua sahihi.

Sio wanawake wote wanene ni magogo, kuna wengine wahanganikaji, wapiganaji kitandani hata kuliko wasio wanene, huyu mwanamke wa juzi kanithibitishia hilo, kwa kua nia yangu ilikua kupiga na kupita kuendelea kutafta wanawake ninaowapenda ila huyu mwanamke kasababisha sasa kila mara naomba nae mechi ya kirafiki, alhamdurilah mtoto sio mchoyo anatoa mechi bila hata kibali cha FiFa cha friend match.

Nimebadili mtazamo, sio wanawake wote wanene ni magogo.
anafukuzia ajira
 
Hivi kweli wajameni JF imefikia hatua ya kudharaulika kiasi hiki mpaka mtu ana post utumbo huu kweli....
Hivi kweli JF tumekuwa watu wa kujadili NGONO kama vile tupo vijiwe vya wavuta bangi badala ya kushauriana masuala ya kuimarisha ndoa....!!!

Nini kimeikumba JF ya sasa...??? Au imebinafsishwa na makampuni yanayozalisha filamu za ngono...???
Hivi kweli jamani post kama hii ndio mtu anaumiza kichwa kuiweka na wengine wanachukua muda wao kuijadili.....???
Jf imejikwaa wapi...???
Weeeh KikulachoChako hii forum kama haikuhusu nenda forum za mapadre mashehe na wanasiasa tuwacheeerrrr
 
Weeeh KikulachoChako hii forum kama haikuhusu nenda forum za mapadre mashehe na wanasiasa tuwacheeerrrr
Sasa wewe na mleta mada inaonekana mmetoka kubajuwana au?maana isije kuwa ndio lile dubwana nene kama gunia la vitunguu linalosifiwa na mleta mada,au uji wa chumvi na malimao umepanda kichwani kama degedege.
 
JF kuna majukwaa ya mbalimbali, na huku uko kwenye jukwaa la mapenzi na mahusiano.. unataka tuzungmzie nini? yapo hadi ya dini na mapambio. kama jukwaa halikuhusu, pita kuleeeeeeeeeeeeeeeeee...
isitoshe usione JF kama kanisa, huku kuna watu wa aina mbalimbali na wenye tabia tofauti tofauti, kwa kifupi wale wanaokuzunguka katika jamii yako wote wako huku pia.. Malaya, wachawi wastaarabu..wasomi na mazombi pia wapo. hakuna hata interview ya kujiunga humu ni kila mtu .POleee kikulachoee
Ni jukwaa la mapenzii ndio hakuna aliyekataa na mapenzini kuna kila aina ya changamotoo kwanini tusijadili namna ya kuboresha ya hayo mapenzii pamoja na changamoto yake?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom