Wanawake wengi wanakuwa wanawahi APPOINTMENT,unakuta jamaa amempigia simu nipo sehemu flani fanya fasta uje ndo hapo wanachukua pikipiki. Pia kuna wengine wana watoto wachanga au wadogo so wanakuwa wanawahi kunyonyesha. ni hayo tu.
Fikra mbadala za mtoto wa kitaa anayejua maisha
capital tzs 10,000,000
bodaboda tatu(3)@ 1,800,000 =5,400,000.
Mpesa tigopesa airtelmoney =2,000,000.
Salon ya kiume ya kitaa, = 1,000,000.
Chumba kimoja 50 000 kodi miezi 6 = 300 000
mazaga ya geto...
huu ni uzushi,watu wapo kwenye pilika zao za kila siku,sio kwa sababu ya nauli kupanda. Kwa wale wanaosafiri mwenge to tegeta hadi bunju ni kawaida sana kulipa nauli ya buku,bukujero hadi buku 2,so ni kawaida tu,tumezoea..............
Mkuu umeandika mambo mengi sana ila huna point. Viongozi wasafi wapo na wanajulikana,pia wachafu wapo na wanajulikana,ndo maana tunafanya uchaguzi kuwachagua wasafi na kuwaacha wachafu. Kwa kukusaidia zaidi CHAGUA VIONGOZI WA CHADEMA ili upate viongozi safi,achana na viongozi wa CCM wengi wao ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.