Baada ya nauli kupandishwa, wananchi kutembea kwa miguu

Baada ya nauli kupandishwa, wananchi kutembea kwa miguu

Dingswayo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
4,019
Reaction score
2,932
Baada ya nauli za mabasi kupandishwa, baadhi ya wananchi wa Dar es salaam wameamua kutembea kwa miguu. Nayaona haya kama maandamano ya kupinga kupandishwa kwa nauli!

Maandamano ya hiari.JPG

Kwa habari zaidi nenda Michuzi Blog.


MICHUZI: ZENGWE LA USAFIRI WA DALADALA BAADA YA SUMATRA KUTANGAZA NAULI MPYA
 
mara zote zikipandishwaga ndo ivyo but after muda fulani wanaanza kupanda kama kawa tu, yani ni kama wakazi wa kigamboni tu nauli ya pantoni ilipopanda waliogelea wiki 2 ya 3 wakarudi mzigoni wenyewe
 
Good! Mazoezi mazuri Sana.
 
Tatizo tanzania hatujawah kuandamana cc kama cc kupinga upuuz wowote waserikal bila kuhusisha vyama vya siasa vingnevyo wangetuheshimu sis watawaliwa maana sio tunaongozwa bali tunatawaliwa
 
Nauli hizi kupanda ni mtaji wa kisiasa 2015
 
Tatizo tanzania hatujawah kuandamana cc kama cc kupinga upuuz wowote waserikal bila kuhusisha vyama vya siasa vingnevyo wangetuheshimu sis watawaliwa maana sio tunaongozwa bali tunatawaliwa

Na nyinyi kama mbwa je?
 
Mmmmh hadi 12

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Tatizo la Watanzania hawana msimamo wa kudumu ni wa muda tuu ndio maana mafisadi na magamba wanaita ni upepo tuu utapita.
 
Halmashauri ya jiji la Dar ikaliwe kooni. Lazima tuwe na public tranportation inayomilikiwa na wananchi.
Umoja ndiyo rasilimali ya mnyonge ... la sivyo, huwezi kuwapangia wafanyabiashara nauli.
 
Halmashauri ya jiji la Dar ikaliwe kooni. Lazima tuwe na public tranportation inayomilikiwa na wananchi.
Umoja ndiyo rasilimali ya mnyonge ... la sivyo, huwezi kuwapangia wafanyabiashara nauli.

Kumbuka kulikuwa UDA ikafa (au iko ICU). Kitu gani kitailinda pubic transport nyingine ikianzishwa isife?
 
huu ni uzushi,watu wapo kwenye pilika zao za kila siku,sio kwa sababu ya nauli kupanda. Kwa wale wanaosafiri mwenge to tegeta hadi bunju ni kawaida sana kulipa nauli ya buku,bukujero hadi buku 2,so ni kawaida tu,tumezoea..............
 
...UZUSHI! Hii ni hali ya kawaida kwenye Mitaa yetu Ya Dizim wakati watu wana-Hussle kutafuta Maisha. Nauli mpya zinaanza Tarehe 12 April. We na Michuzi wako watakeni radhi Watanzania kwa kutaka kuchakachua ukweli!:nono:
 
Back
Top Bottom