PICHA: Harakati za CHADEMA huko Karagwe, Kagera

Everyone knows kwamba blandesi alishinda kwa wizi wa kura karagwe akisaidiwa na Masawe akiwa DC karagwe,mwisho wa siku Masawe akapandishwa cheo na kuwa RC Kagera kama kulipa fadhila .I am from Kagera,wilaya ya misenyi,2015 CCM hawachomoki.What is needed ni CDM kumuweka mtu makini.Watu wamechoka.

attachment.php

Wanachama wa Chadema katika Mkutano uliohutubiwa na Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa

attachment.php

Katika mkutano huo mjini Kayanga, ambako Dk Slaa alisema Chadema haioni wivu wa kubuni sera na CCM ikatekeleza kwa manufaa ya watanzania

View attachment 72305
Wajumbe wakiwa katika Baraza la Ushauri wilayani Karagwe, Kagera. Hawa ni viongozi wa majimbo, wilaya na mkoa mzima. Ni utaratibu ambao ni endelevu.

View attachment 72306

View attachment 72307
Mwenyekiti wa Chadema mkoani Kagera, Wilfred Rwakatare akifungua mkutano.
 
Senkiyu. Hebu fananisha hizi picha na zilizo kwenye thread ya Kinana ARUSHA!
 
Watalia na kusaga meno pale wananchi watako wakataa kwa sanduku la kura. Na tutawapa masaa ili warejeshe kila walichokwiba na kuwaweka segerea.
Mhn ndugu Mgaya tatizo langu ni kuwa IKIWA WANAIBA NYARA ZETU BILA KUKAMATWA HIZO KURA ITAKUWAJE?
 
Kuna huyu hapa aliweka hili bandiko asubuhi asubuhi!

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/358373-mapokezi-ya-mh-slaa-chadema-karagwe-yadoda.html

Nilikuwa nasubiri tuone kuwa alichokisema kilikuwa na ukweli au ndio mbinu za wana 'CCM-Online'!



CCM online kundi la watu wasiotumia akili zao, bali akili za kudanganywa na akina Nape, waongo, watunzi wa maneno na

wakatimwingine wachochezi.

Hawana aibu wao mipasho na majungu sio tatizo. Uzalendo na utanzania wameuweka kando kwao ccm nikila kitu hatakama

imepoteza muelekeo.
 
mbona siwaoni magamba online?wanamsubiri kubwa lao la maadui mtoto wa mzee Jumanne Malecela?
Unajua ujinga mwingine wa kurithi niliwahi kumsikia mzee Jumanne akitamba kuwa ccm itatawala kwa miaka 100.Na kama nyoka anazaa nyoka unategemea nini kwa mwanae the LE MUT...,subiri aanze kunya humu ndani utamuonea huruma.
masikini Anna weshamuambukiza hakuna upiganaji tena,kaingia anga za Sophia mh yale yale puu chali
 
Mhn ndugu Mgaya tatizo langu ni kuwa IKIWA WANAIBA NYARA ZETU BILA KUKAMATWA HIZO KURA ITAKUWAJE?
Mwaka 2015 piga kura linda kura nchi nzima,hachomoki mtu!huko kwingine si wana dola waache wakwibe ila watarejesha tu.
 
harufu ya ukombozi inazidi kusambaa kila kukicha na hiki ndicho kinachoitisha sana ccm na serikali yake. wananchi kupata elimu ya uraia na utambuzi
 
Duh, kuna mtu hapa alileta habari kwamba mikutano ya Slaa huko karagwe imedoda! Mbona sasa ni contrary kabisa? Duh, nimeamini CCM wanatapatapa sasa hivi.
nani huyo,karagwe wale wanyambo hawaitaki ccm
 
Back
Top Bottom