Akina dada na usafiri wa 'bajaj' vipi?

Akina dada na usafiri wa 'bajaj' vipi?

Wanawake wengi wanakuwa wanawahi APPOINTMENT,unakuta jamaa amempigia simu nipo sehemu flani fanya fasta uje ndo hapo wanachukua pikipiki. Pia kuna wengine wana watoto wachanga au wadogo so wanakuwa wanawahi kunyonyesha. ni hayo tu.
 
Aksante mkuu.
 
Nimepita pita hapa mjini 'Mzizima' na kugundua kumbe akina mama hasa dada zetu wanapendelea mno usafiri wa pikipiki aina ya 'bajjaj' sijui kwa nini. Mwenye kuelewa jambo hili atujuze.

Ofa zenyewe za manati uanze kuchukuwa mtaxi na mifoleni utamkuta?
Mbaya zaidi ufike na mtaxi wako ukute katoka kidogo, utamlipaje?
 
Nimepita pita hapa mjini 'Mzizima' na kugundua kumbe akina mama hasa dada zetu wanapendelea mno usafiri wa pikipiki aina ya 'bajjaj' sijui kwa nini. Mwenye kuelewa jambo hili atujuze.

Jibu lake ni hili hapa:

Mume: Hello wife niko hapa kwenye kona nakuja nyumbani nina mgeni, tafadhali tayarisha chakula haraka maana mgeni anaharaka.

Mke (akiwa guest na buzi lake): Sawa mume wangu ninapika tena niambie wataka nikupikie chakula gani kizuri ule na mgeni wetu?

Sasa ili kuhalalisha kuwa kweli alikuwa nyumbani inabidi achukue boda boda kuwa nyumbani kuficha maovu yake!!!
 
Mkuu, ya kweli hayo?
 
hili swali ni la ajabu sana...kwani we unapendelea kuzunguka na usafiri gani hapa ardhini?gari binafsi,pikipiki,bajaj,baiskeli,dala dala? na kwa nn unapendea usafiri huo?
Mkuu, nimeuzowea usafiri wa daladala kwani tokea enzi ya DMT. Tatizo viongozi wetu wanadhani maendeleo ni kubadilisha majina.
 
Kwani wewe mwenzetu hupandi? Na kwa utafiti wako wakaka wantumia usafiri gani? Sikujua kama kupanda bajaji nako ni issue ya kusumbua vichwa....
 
Back
Top Bottom