Wenye visimbuzi (ving'amuzi) vya Startimes.. mnapata signals..

Wenye visimbuzi (ving'amuzi) vya Startimes.. mnapata signals..

sosoliso

Platinum Member
Joined
May 6, 2009
Posts
8,543
Reaction score
9,480
Wadau mnatumia StarTimes kama mie.. Mnaona huko au imebuma kote..? Maana kwangu imekataa inaandika no signal.. Sasa sielewi kama ni kwangu tu au kote..

Mwenye namba ya simu ya Waziri Mbarawa au bosi wa TCRA Prof. Nkoma naomba anipe niwatwangie sasa hivi..!
 
Ving'amuzi hivi ni vimeo au tunanyimwa habari kijanja.
 
Wadau mnatumia StarTimes kama mie.. Mnaona huko au imebuma kote..? Maana kwangu imekataa inaandika no signal.. Sasa sielewi kama ni kwangu tu au kote..

Mwenye namba ya simu ya Waziri Mbarawa au bosi wa TCRA Prof. Nkoma naomba anipe niwatwangie sasa hivi..!

Mie niko sinza naona no signal toka asubuhi
 
This is out of order, dah! Yaani katika wafanyakazi woote hakuna aliyenotice kuwa hakuna signal.... nimechoka upuuzi!!!
 
Mpaka asubuhi hii hamna signal..! Kweli sie wengine Jehanamu yetu ni hapa hapa duniani..
 
Hata hivyo sisi Watanzania ni wapole saanaa.
Hili ndilo tatizo letu kubwa. Yaani ni kawaida kubembeleza unaponyimwa haki na anayepaswa kukupa hiyo haki tunatulia na kumuona kuwa yeye ndiye mwenye haki ya kutunyima haki yetu bila sababu za msingi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mi niko Temeke... nilidhani tatizo ni antenna ya kisimbuzi changu. kumbe ili ni tatizo kwa wotw sio.... KIFUATACHO???
 
Mi niko Temeke... nilidhani tatizo ni antenna ya kisimbuzi changu. kumbe ili ni tatizo kwa wotw sio.... KIFUATACHO???

Kwa wabongo kifuatacho ni kuuchuna kwa kuwa Mungu atatulipia.. Damn..
 
nilishasema fungeni madishi ya kawaida free to air nyie mnang'ang'ana na mataka taka yenu.
 
mimi mwenzenu tangu tar 1 mwezi wa tatu hakifanyi kazi,nimebadilisha antena mbalimbali hakuna kitu,nimefunga zuku,tatizo na wenyewe local chanels hawana zaidi ya tbc na chanel 10,nafikiria kuijaribu digtek,sijui mnanishauri vipi wanajf
 
hivi sie ni wananchi wa Tanzania au ni wakimbizi wa Kitanzania? kuna wakati nchi yangu inafanya vitu vya kustaajabisha sana.
 
mimi mwenzenu tangu tar 1 mwezi wa tatu hakifanyi kazi,nimebadilisha antena mbalimbali hakuna kitu,nimefunga zuku,tatizo na wenyewe local chanels hawana zaidi ya tbc na chanel 10,nafikiria kuijaribu digtek,sijui mnanishauri vipi wanajf

Mie sina la kukushauri kwa hapo.. Mwisho wa siku unaweza kuwa na ving'amuzi vya kampuni 4 tofauti na bado ikawa bomu.. Biashara za viongozi hizi..
 
Wadau mnatumia StarTimes kama mie.. Mnaona huko au imebuma kote..? Maana kwangu imekataa inaandika no signal.. Sasa sielewi kama ni kwangu tu au kote..

Mwenye namba ya simu ya Waziri Mbarawa au bosi wa TCRA Prof. Nkoma naomba anipe niwatwangie sasa hivi..!

Mkuu wakati mwingine Vigamzi hivi vinakuwa na matatizo kwenye port ya kutolea Video na Sauti, ila ujafafanua vizuri kama no Signal inakuwa generated kutoka kwenye kingamuzi chenyewe lakini menu inaonekana kwenye screen lakini unashindwa ku-access channels kama ndio hiyo basi tatizo linatokana na antenna haijakaa vizuri.

Lakini kama screen inaonekana in bluu raster na on screen display ya AV na No Signal basi hilo ni tatizo linalo tokan na Kingamuzi chenyewe, nenda StarTimes wakupatie kingine kipya.
 
Back
Top Bottom