Hivi mmiliki wa TSN supermarkets ni nani?

Malingumu

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
616
Reaction score
433
Wadau, naomba anayemjua mmiliki wa "tsn supermakerts" anijulishe "am just curious to know him/her". Juzi juzi nilikuwa narudi zangu home baada ya uchovu wa mishemishe za siku nikaona gari kubwa la mafuta(petroleum) limeandikwa tsn. Anamiliki supermarkets pale Kibo complex-Tegeta,Victoria na Posta kama sijakosea. Vyote hivi nimeviona hapa jijini Dar,sijajua kuhusu umiliki wake wa maeneo mengine hapa Dar na hata mikoani. Waungwana naomba anayemfahamu mmiliki huyu anielezee tafadhali. Nimejisikia tu kuulizia jina lake na sifa zake. Karibuni!
 
Anaitwa Farouk anatokea Tanga ni rafiki mkubwa wa mwana F.a.
Anamiliki TSN group ambayo ni muungano wa kampuni 4, zikiwemo TSN supermarkets, TSN oil, TSN logistics na nyingine mesahau.
Hapendi kuonekana sana kwenye events ila shughuli kubwa uwa anatokea mtu mwingine kumwakilisha.
Ukitaka kumuona nenda head quaters za TSN kule karibu na ITV anakuwepo japo ni mtu wa kusafiri safiri sana.
 
ni mwarabu mmoja duh jina lake gumu kidogo.....
 
Acha kuwaongopea watu. Ni mbongo tu. Ana asili ya Tanga. Anaitwa Farouk. Ni mtaratibu na mcheshi. Huwa hapendi kujikweza. Ingawa ni mbongo,kawaajiri mpaka kina kanjubai. Anapatikana hedikota kwake Mikocheni karibu na ITV.
 
Anaitwa Farouk anatokea Tanga ni rafiki mkubwa wa mwana F.a.
Anamiliki TSN group ambayo ni muungano wa kampuni 4, zikiwemo TSN supermarkets, TSN oil, TSN logistics na nyingine mesahau.
Hapendi kuonekana sana kwenye events ila shughuli kubwa uwa anatokea mtu mwingine kumwakilisha.
Ukitaka kumuona nenda head quaters za TSN kule karibu na ITV anakuwepo japo ni mtu wa kusafiri safiri sana.

Asante sana. :smile-big:
 
Acha kuwaongopea watu. Ni mbongo tu. Ana asili ya Tanga. Anaitwa Farouk. Ni mtaratibu na mcheshi. Huwa hapendi kujikweza. Ingawa ni mbongo,kawaajiri mpaka kina kanjubai. Anapatikana hedikota kwake

ngoja tumuite le mutuz aje maana ni mshikaji wake
ohh kumbe ni mcheshi sana.....thats gooda
 
Acha kuwaongopea watu. Ni mbongo tu. Ana asili ya Tanga. Anaitwa Farouk. Ni mtaratibu na mcheshi. Huwa hapendi kujikweza. Ingawa ni mbongo,kawaajiri mpaka kina kanjubai. Anapatikana hedikota kwake Mikocheni karibu na ITV.

kalia hivyohivyo ni farouk sijui wakat yeye ni mshika pembe tuuu...wala mkia wapo na ma lake oil, oilcom na sijui maanani...full magumashi.

Wee ngoja aje rais chiz tutaheshimiana.
 
Slaa atawanyorosha we subiri tu.tutawafilisi wote.
 
Acha kuwaongopea watu. Ni mbongo tu. Ana asili ya Tanga. Anaitwa Farouk. Ni mtaratibu na mcheshi. Huwa hapendi kujikweza. Ingawa ni mbongo,kawaajiri mpaka kina kanjubai. Anapatikana hedikota kwake Mikocheni karibu na ITV.

Uongo wake uko wapi huyo Farouk ni mwarabu,kuwa mwaarabu hakumaanishi kuwa sio mtanzania,basi wahindi yusiwaite wahindi,mbona mmakonde anaitwa mmakonde
 
ni Rizi JK hawa sema sasa unataka nini... maana kila hoteli zinone,, kila gari kubwa rizone ha watanzania kwa umbea sasa kiboko bado kidogo watatembea na lipstick
 
Click below link itakusaidia

Wadau, naomba anayemjua mmiliki wa "tsn supermakerts" anijulishe "am just curious to know him/her". Juzi juzi nilikuwa narudi zangu home baada ya uchovu wa mishemishe za siku nikaona gari kubwa la mafuta(petroleum) limeandikwa tsn. Anamiliki supermarkets pale Kibo complex-Tegeta,Victoria na Posta kama sijakosea. Vyote hivi nimeviona hapa jijini Dar,sijajua kuhusu umiliki wake wa maeneo mengine hapa Dar na hata mikoani. Waungwana naomba anayemfahamu mmiliki huyu anielezee tafadhali. Nimejisikia tu kuulizia jina lake na sifa zake. Karibuni!

http://francisdande.blogspot.com/2012/12/tsn-group-yamwaga-madawati-kipawa.html?m=1
 
Back
Top Bottom