Recent content by think BIG

  1. T

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Dena, nimekuwa nikitafuta mzoefu wa vitunguu huko Kilosa, unaweza kuni-PM contact zako! Natanguliza shukurani zangu za dhati!
  2. T

    JamiiForums Tanzania Jenga Greenhouse kwa gharama nafuu

    mamaNa, Kuna suala la uchavushaji wa maua (pollination), kwa wengi wetu tumeshazoea uchavushaji unafanywa na wadudu (insects kama nyuki, vipepeo, nk.). Je kwenye greenhouse suala la uchavushaji linakuwaje, maana wadudu hao hawaingii.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Vifaa vya Ujenzi (Hardware Store): Ushauri wa Mtaji, Uendeshaji, Changamoto na Faida

    Lucky sabasaba, asante kwa taarifa hii. Nina swali kuhusu hivyo vifaa vya ujenzi kama tiles, marble, milango, kitchen cabinets, madirisha. Je hao wauzaji (maduka) wana online website, ili wateja wa mbali kama huku TZ waweze kuona hizo bidhaa/ vifaa. Au ni mpaka mtu atie mguu huko huko Dubai?
  4. T

    JamiiForums Tanzania msaada: makampuni ya udalali/ minada

    Mod, hii mada niipeleke jukwaa gani, la siasa? Msaada please.
  5. T

    JamiiForums Tanzania msaada: makampuni ya udalali/ minada

    Naomba msaada kwa member yeyote mwenye ufahamu wa kutosha kuhusu makampuni yaliyosajiliwa hapa nchini kwaajili ya shughuli ya udalali/ minada (auction). 1. Je ni wizara gani inayojihusisha na haya makampuni ya udalali (auction)? 2. Je ni wapi ninaweza kupata orodha ya makampuni...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Tuhuma nzito za ufisadi dhidi ya Mwakyembe pale ATC

    Ndugu yangu Msambule, kuna biashara yeyote umeshawahi kuifanya tangu uzaliwe? Hii biashara yako (ya ATCL) imejaa mapato na wala haionyeshi matumizi (Je, ni kwamba unaficha ukweli wa hasara tarajiwa?). Acha nikusaidie, kwenye usafiri wa anga, asilimia 40 (40%) ya mapato yako yote huenda kwenye...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Bunge kuahirishwa kesho Jumamosi kuepuka aibu ya kufika j3 kisa saini 70

    Naomba ujumbe usomeke hivi: "Mh. Mbunge, ukiwa kama mwakilishi wetu bungeni, tunaomba usaini fomu ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu pamoja na baraza lake la mawaziri" Kama unafahamu jina la Mbunge na jimbo lake basi ujumbe wake uwe hivi: "Mh. [taja jina], sisi wananchi wako wa Jimbo la...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mh. Edward Ngoyayi Lowassa: Acha kucheza na akili za Watanzania

    chuki binafsi! Kwa mtazamo wako, inamaana hata Microsoft alaaniwe kwa kuua ajira za vijana wengi ma-messenger na ma-typist! Na Yahoo/GMail walaaniwe kwa kuua ajira za vijana wetu kule Posta na Simu! Kwa mtazamo huu, sioni wa kumgusa Lowassa (ndani ya CCM), maana kila mara wimbo ni ule ule...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo prof. Maghembe alivyopata ubunge wake Mwanga

    Nadhani humu ndani kuna waandishi wa habari, itakuwa vizuri kama hawa wahusika waliopokea Tsh 20,000 watapigiwa simu (maana kuna namba zao), ili kuthibitisha tukio hilo. Na kama wanafahamu ni kosa kupokea fedha kwa minajili ya kumchagua ama kumfanyia mtu kampeni. Na je angeweza kumchagua ama...
  10. T

    JamiiForums Tanzania JK: Sijawahi kusema serikali yangu itajenga Barabara kupitia Mbuga ya Serengeti

    Wakati wa kipindi cha kampeni, mwezi septemba 2010 akiwa maeneo ya Ngorongoro na Serengeti, Mh JK alisema hivi "Mipango ya Ujenzi wa Barabara ya lami kupitia Serengeti iko pale pale" ( refer wavuti.com) Wakati wa kikao cha World Economic Forum, huko Davos mwezi Januari 2011, Mh JK alikutana...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kadi bandia za CHADEMA zaiumbua CCM Mbeya

    Wakati unaendelea kutafakari CCM na Viongozi wake; NIPASHE waliripoti hivi Hii ndio CCM inayoangaika kudhihirisha ulimwengu kuwa "wanapendwa" na wananchi wao!
  12. T

    JamiiForums Tanzania Lissu Vs. Chikawe: Prosecute or Not to Prosecute Chenge in BAE Scandal

    Mh Chikawe ushahidi dhidi ya Chenge ni huu hapa, na Mwanasheria Mkuu anafahamu!!! nimeamua ku-copy kipande kidogo kutoka katika ukurasa wa 5, lakini naomba u-download report yote hapo chini. ------------------------------------------------------------------------------------ ... It is...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Uhuru lammaliza Lowassa

    Lowassa is our next president! Watanzania wapende wasipende, na JK asipokuwa makini hawezi maliza term hii.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mdogo: Chadema liangalieni sana hili.

    Politiki nakubaliana na hoja yako, ni vizuri vyama vyetu vya upinzania (zaidi CHD) kupitia kurugenzi yao ya habari kuwa na kitengo/ unit ya yanayojiri kutoka bungeni (hapa watakusanya live video za section zote za bunge pamoja na hansard), pili yanayojiri kutokana na hotuba za rais na mawaziri...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Wabunge chadema tusaidieni: Serikali kugharamia viongozi wa kitaifa wastaafu

    listi ya wastaafu wanaolipwa baada ya kustaafu ni wengi. Kwenye listi yako ongeza: (1) ma-meja jenerali na ma-jenerali wote wastaafu (2) ma-jaji wastaafu wote Hawa hulipwa ulinzi, mishahara, watumishi wa ndani, gari, mafuta ya gari pamoja na matengenezo ya gari. Mungu ibariki Tanzania.
Back
Top Bottom