msaada: makampuni ya udalali/ minada

think BIG

JF-Expert Member
Mar 24, 2008
236
40
Naomba msaada kwa member yeyote mwenye ufahamu wa kutosha kuhusu makampuni yaliyosajiliwa hapa nchini kwaajili ya shughuli ya udalali/ minada (auction).

1. Je ni wizara gani inayojihusisha na haya makampuni ya udalali (auction)?

2. Je ni wapi ninaweza kupata orodha ya makampuni yaliyosajiliwa kwa shughuli za udalali (auction)

3. Je kuna sheria yeyote inayolazimisha makampuni ya udalali kutoa taarifa kwa public kuhusu tarehe na mahali itakapoendeshwa mnada? Je taarifa hiyo inatakiwa kutolewa siku ngapi kabla ya mnada wa hadhara?

4. Je ni chombo gani (taasisi ama mamlaka) kinachosimamia hii minada (auction) ili kuangalia kama haki imetendeka kwenye mnada wa hadhara? Yaani hapakuwa na upendeleo.

Natanguliza shukrani za dhati kwa yeyote yule atakayetoa muda wake kujibu haya maswali, asanteni!
 
Mod, hii mada niipeleke jukwaa gani, la siasa?

Msaada please.
 
Hii mada ni ya uchumi na biashara.
Kama siyo mtaalam wa mambo hayo usiwe kikwazo kwa wenzio, mtu kauliza lengo apate majibu lakini siyo athiakiwe
hiyo haijengi kaka tusaidiane ili tufike hakuna anaye jua kilakitu.
 
Back
Top Bottom