Uchaguzi mdogo:chadema liangalieni sana hili. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi mdogo:chadema liangalieni sana hili.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by politiki, Jun 14, 2011.

 1. p

  politiki JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  swala la posho mnaweza kulitumia kwenye chaguzi ndogo zitakazoibuka kabla ya mwaka 2015 kwa kuakikisha mjadala wa swala la posho ukianza ni muhimu kuhakikisha mnapata video za wabunge wote wanaotetea kulipwa posho kinyume na matakwa ya wananchi kwa ajili ya kutumia maneno yao wenyewe ndani ya bunge kama ushahidi wa kujali maslahi binafsi badala ya umma wakati wa kampeni za chaguzi ndogo zitakazotokea hivi karibuni. video zao zinaweza kuwaraisishia sana kazi ya kujenga hoja maana wanaweza kudai kuwa tumewa misquote au kudai wamezushiwa tu LAKINI VIDEO YA MTU NI MWISHO WA MCHEZO na PIA MSISAHAU YA JOHN KOMBA KWANI UMEFIKA MAHALI PA KULETA USHAHIDI UONGEE WENYEWE NA KUWASUTA MBELE YA WANANCHI KWA KUWAONYESHA WANANCHI "TRUE COLORS" ZA WABUNGE WA CCM NA SI MANENO YA KUSIKIA TU.
   
 2. t

  think BIG JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2011
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 236
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Politiki nakubaliana na hoja yako, ni vizuri vyama vyetu vya upinzania (zaidi CHD) kupitia kurugenzi yao ya habari kuwa na kitengo/ unit ya yanayojiri kutoka bungeni (hapa watakusanya live video za section zote za bunge pamoja na hansard), pili yanayojiri kutokana na hotuba za rais na mawaziri (hapa ni muhimu kukusanya video zake).

  Wakiweza kukusanya archive zote hizi, zitawasaidia sana huko mbeleni, kwasababu viongozi wetu ni wajuzi wa kutunga uongo wa muda mfupi.
   
 3. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  I salute you, yaani wabunge ndio wanaotakiwa kuukemea uwizi huu, lakini duh, yaani CDM na NCCR tu ndio wanaliona. Jamani sisi watanganyika tuna machungu mengi. Msituchezee namna hii. Hata Takukuru wamekaa kimya tu.
   
Loading...