Sigma
JF-Expert Member
- Feb 26, 2011
- 5,006
- 1,259
Bora uendelee kulala fofofo[B said:fofofo[/B];2097903]Hivi Liwassa ni mtuhumiwa wa mkataba wa Richmond au ufisadi? Ufisadi ni tuhuma nzito
Bora uendelee kulala fofofo[B said:fofofo[/B];2097903]Hivi Liwassa ni mtuhumiwa wa mkataba wa Richmond au ufisadi? Ufisadi ni tuhuma nzito
Inaonyesha uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana,sasa unadhani ni nani kama sio lowasa?umejuaje kuwa ni lowassa wakati gazeti halijataja jina lake?
Zinakaribia karibia 39 kuingia 40
Sure!The guy has nine lives,you wait and see..Wana ccm aka magamba chekeleeni tu, lakini jamaa ndio kashika mpini wengine wote mmeshika makali sasa kazi kwenu, hakuna mjanja kati yenu zaidi yake, hata mkuu wa kaya.
mafisa wote sasa hivi Lowasa ndo yuko Nigeria, sasa twambie huyo wako ambaye yuko huko.umejuaje kuwa ni lowassa wakati gazeti halijataja jina lake?
haina majotoGazeti la CCM, Uhuru leo limechapisha habari hii, kuwa mtuhumiwa wa ufisadi alikwenda Nigeria kuombewa. naona limeanza kuwaandaman mapacha watatu, na hii ni ishara kuwa mkakati wa kuwatema uko jikoni.![]()
Gazeti la CCM, Uhuru leo limechapisha habari hii, kuwa mtuhumiwa wa ufisadi alikwenda Nigeria kuombewa. naona limeanza kuwaandaman mapacha watatu, na hii ni ishara kuwa mkakati wa kuwatema uko jikoni.![]()
Lowassa is our next president! Watanzania wapende wasipende, na JK asipokuwa makini hawezi maliza term hii.
Lowassa is our next president! Watanzania wapende wasipende, na JK asipokuwa makini hawezi maliza term hii.
Wana'magamba' wanaomwandama Mh. Lowassa nawaomba watutajie aliyesafi katika CCM. Wakiweza kumtaja na akathibitika kuwa yeye saafi. Basi waendelee kumyoshea vidole baba wa watu asiye na makuu kama wao. Naye Nape na Mukama wajue kelele zao hazimzuii mwenye nyumba (Mh. saaana Edward Lowassa) kulala. Ila JK ndiye anayekosa usingizi.
Kwali toka jamaa ajiuzilu miaka yote hakuna kitu ambacho kimefanyika zaidi ya Watu kucheka Cheka tu alikuwa Ana mchezo na kazi shule za kata zilitupunguzia sana vibaka na wasichana kuzalishwa ovyo na uhakika Kama angekuwepo shule zote zingekuwa na maabara na nyumba za walimu siku hizo zimekuwa gest bubu