Hivi ndivyo prof. Maghembe alivyopata ubunge wake Mwanga

Mbona umechelewa sana kuileta hii? Kwa kweli ni aibu kubwa si tu kwa wapokeaji kwa kuendekeza njaa zao bali hata kwa mtoaji. Nilikuwa namheshimu huyu Prof. as a person nikidhani ni msomi ambaye si gamba kumbe wote ni uozo mtupu!
 
kama mnatumia pc, tusaidieni nasi tuisome. Downloding basi mziweke ktk format ambayo tutaweza kusoma.
 
duh vitu vingine vinatia hasira jamani yaani hela hizi ndio zinampa mtu maisha ua anasa kwa miaka mitano, mbona siasa zetu ngumu hivi? watu competent wataingia kweli?tumeishia kuwa
 
Tunaomba mnatumia pc mtusaidie nasi tunaotumia simu tuuone uozo wa mbunge wetu. Samahanini kwa usumbufu.
 
Nadhani humu ndani kuna waandishi wa habari, itakuwa vizuri kama hawa wahusika waliopokea Tsh 20,000 watapigiwa simu (maana kuna namba zao), ili kuthibitisha tukio hilo. Na kama wanafahamu ni kosa kupokea fedha kwa minajili ya kumchagua ama kumfanyia mtu kampeni. Na je angeweza kumchagua ama kumpigia kampeni Prof Magembe pasipo kupewa hiyo fedha?
 
Mnaotumia Pc, vipi tena. Download hiyo mambo then utuwekee hapa na sisi tunaotumia simu tusome.
 
better late than never! ...imewachukua miaka zaidi ya 150 Waingereza kupitia serikari ya Australia kuwaomba msamaha WaAborigine, kwa hiyo uko mbeleni huenda hata ukoo wake ukawajibika kuwaomba msamaa waTZ kwa madhambi ya Prof.
Mbona umechelewa sana kuileta hii? Kwa kweli ni aibu kubwa si tu kwa wapokeaji kwa kuendekeza njaa zao bali hata kwa mtoaji. Nilikuwa namheshimu huyu Prof. as a person nikidhani ni msomi ambaye si gamba kumbe wote ni uozo mtupu!
 
Kwakweli Wa-TZ tunapoteza haki yetu ya kidemokrasia kwa fedha ndogo mno! Hicho ni kipimo kizuri cha level ya umasikini tulio nao. Mtu mzima huwezi kuhongwa sh. 20,000 au 30,000 kumbeba mtu aingie Bungeni. Ni kipimo pia cha aina ya viongozi tulio nao kuanzia juu hadi chini. Kwanini tusiwe maskini?
 
ndio tanzania yetu

Mkubwa.. hiyo si Tanzania yetu.... bali ni Tanzania tuliyolazimishwa kuwa nayo!!!. Swali ni kwamba tutaendelea kulazimishwa kuwa na Tanzania ya namna hii mpaka lini????....
 
Kumbe Mipari (mishemeji yangu) nayo ni Chip namna hii. Sikutegemea unaweza kuwanunua Wapare kwa bei rahisi kiasi hiki.

Huwa mnatucheka sisi Wanyamwezi tunauza kura kwa CCM, ona sasa hawa Wapare.Hivi hamuoni kuwa mnawaaibisha watu wa Kilimanjaro?

Wapare you can do better shemeji zangu. Sikutegemea kabisa kutoka kwa hawa akina Mthuya....... Sh**zi kabisa nyie wala PEREGE.

Mnataka niendeleze mapigo Mla Mwa Wangu? Nashangaa tu hamkupewa makande kama hongo. Thamaki Thi kitu................

Ovyooooooooo........................
 
Back
Top Bottom