Recent content by TheChoji

  1. TheChoji

    JamiiForums Tanzania Nini kinafanya Wazazi walio wengi kumpenda mtoto mmoja zaidi kuliko wengine?

    Mimi hua naona watoto wanaopendwa na wazazi huishia kuwa walevi, watukutu n.k. Maana nafikiri hua wanadekezwa na kupewa kila wanachotaka
  2. TheChoji

    JamiiForums Tanzania Hisense Smart TV inch43 nusu kioo kina flicker alafu nusu upande inaonyesha vizuri

    Mara nyingi hua naona TV ikishaanza hayo maruweruwe ni ngumu kuirekebisha hasa eneo la kioo. Vinginevyo utajikuta unatumia gharama kubwa kuliko kununua mpya.
  3. TheChoji

    JamiiForums Tanzania Maskini hawana kazi ya kufanya, ndio wanaojifanya wana uchungu na ushoga. Ndio wanaompa airtime Dudubaya

    Tabia zote mbaya huwa zinakemewa, sio lazima ziwe zinakuhusu wewe moja kwa moja. Na pia sisi tuna watoto ambao kama usipokemea tabia kama hizo kwa kudai hazikuhusu, kesho ukimkuta mtoto wako anafanya bado utasema hainihusu?
  4. TheChoji

    JamiiForums Tanzania Hiyo akiba uliyo nayo inaweza kukulisha kwa muda gani ikitokea umepata anguko la kiuchumi?

    Halafu sometimes unaweza ukadhani hawa watu wana matumizi mabaya, au labda hawana budget, ila kuna mda unakuta tu ni hali halisi kwamba hata ajibane vipi ngoma haitoboi.
  5. TheChoji

    JamiiForums Tanzania Hiyo akiba uliyo nayo inaweza kukulisha kwa muda gani ikitokea umepata anguko la kiuchumi?

    Kiukweli wengi wetu tunaishi "hand to mouth" economy. Na hii ndio maana halisi ya 3rd world, majority ya wananchi ni masikini wasio na asset wala savings. Ndio maana utakuta hata asilimia kubwa ya wafanyakazi mishahara haitoboi mwisho wa mwezi, na hapo hakuna anguko lolote ni matumizi tu ya...
  6. TheChoji

    JamiiForums Tanzania Uchagani pamenikataa!!

    Jaribu kucheki na wazaramo, wadigo au warangi
  7. TheChoji

    JamiiForums Tanzania Udikteta ndio chaguo bora la utawala

    Afrika tatizo sio mfumo. Akili zetu bado ziko kwenye "hunting and gathering".
  8. TheChoji

    JamiiForums Tanzania Mabinti wa Kichaga sasa hivi wamepata sifa mbaya Tanzania nzima

    Suala aliloleta mleta mada ni kupata waume. Talaka hiyo ni ishu nyingine
  9. TheChoji

    JamiiForums Tanzania Nimegundua wanawake wengi wanaolewa na watu wasiokuwa wa ndoto zao!

    Mimi nadhani suala la mapenzi ni "illusion" tuu hakuna mtu anaempenda mwenzake. Sio mwanaume wala mwanamke. Wote tuko ki maslahi na mara nyingi siku hayo maslahi yakikoma na shughuli nzima inaishia hapo.
  10. TheChoji

    JamiiForums Tanzania Mabinti wa Kichaga sasa hivi wamepata sifa mbaya Tanzania nzima

    Sijui mkuu. Wewe ndio unajua.
  11. TheChoji

    JamiiForums Tanzania Diva aomba michango kwa waja, ili alipe kodi ya nyumba

    Kwahiyo hiyo kodi ikiisha mwakani atarudi tena kwa Watanzania mumchangie..?
  12. TheChoji

    JamiiForums Tanzania Mabinti wa Kichaga sasa hivi wamepata sifa mbaya Tanzania nzima

    Miaka nenda rudi nasikia mabinti wa kichaga wana sifa mbaya, ila kila siku ndio wanaongoza kuolewa.
  13. TheChoji

    JamiiForums Tanzania Hizi ni Sifa za wadada wanaoishi peke yao; Je wewe unaijua ipi

    Gen Z wengi siku hizi hawatoki nje si wakike wala wakiume sijajua tatizo ni nini?
Back
Top Bottom