Ukiwa single unaenjoy sana!!!

Ukiwa single unaenjoy sana!!!

Usingo wa miji mikubwa raha sana ila jaribu kuwa single, njombe, songea, ndio utajua usingo haufai we vuta picha, mfukoni una laki lakin unakosa dem wa kulala nae yaan unambembeleza malaya naenda bar na ka laki mbili kangu na bado nambembeleza barmed nikamle pesa yangu nyege zangu bado nimnunulie bia aisee bora watu wa miji hiyo polen sana uzi za kataa ndoa haziwahusu
 
Back
Top Bottom