FactDuniani kuna mitazamo Ya Mtu Mmoja mmoja,Na Kuna Mawazo Jumuishi ya Kikundi Fulani cha Watu au Tabaka Fulani la Watu.
Haya ni Mawazo ya Maskini Vs Mawazo ya Matajiri
MASKINI
1.Matajiri Ni Mafisadi
2.Matajiri Ni Waenda kwa Waganga
3.Matajiri Ni Freemason
4.Matajiri Wameachiwa Urithi
5.Matajiri Walidhulumu mali za Watu.
MATAJIRI
1.Maskini Ni Wavivu
2.Maskini Wanalalamika Sana
3.Maskini Wameridhika
4.Maskini Wanapuuza Fursa
5.Maskini Wanasubiri Kusaidiwa
6.Maskini Ni Wajinga.
Mtizamo Hii ya Matabaka Haya mawili ni ya kila Kundi Kuhalalisha lilipo.
Mambo uliyo sema katika thread Yako hii yanatia hasira. Una wadhalilisha masikini wenzako.😂😂😂 Kama Ni Bange Basi Tunanunuaga na Kuvuta Wote,Kama Sivyo Basi Zinabaki kuwa Tuhuma Chonganishi.
Mbona hujaweka kundi lisiloegemea upande wowote 😜Duniani kuna mitazamo Ya Mtu Mmoja mmoja,Na Kuna Mawazo Jumuishi ya Kikundi Fulani cha Watu au Tabaka Fulani la Watu.
Haya ni Mawazo ya Maskini Vs Mawazo ya Matajiri
MASKINI
1.Matajiri Ni Mafisadi
2.Matajiri Ni Waenda kwa Waganga
3.Matajiri Ni Freemason
4.Matajiri Wameachiwa Urithi
5.Matajiri Walidhulumu mali za Watu.
MATAJIRI
1.Maskini Ni Wavivu
2.Maskini Wanalalamika Sana
3.Maskini Wameridhika
4.Maskini Wanapuuza Fursa
5.Maskini Wanasubiri Kusaidiwa
6.Maskini Ni Wajinga.
Mtizamo Hii ya Matabaka Haya mawili ni ya kila Kundi Kuhalalisha lilipo.
SIpo kutweza mjtazamo ya Watu,Niameandika uhalisia ulivyo.Mambo uliyo sema katika thread Yako hii yanatia hasira. Una wadhalilisha masikini wenzako
😂😂😂 Sjui hata linaitwaje maana Kwenye lugha yetu sjawai lisikiaMbona hujaweka kundi lisiloegemea upande wowote 😜
Naam Mkuu"Kumbuka umasikini na utajiri zote hali" - Prof. Jay
20k miaka ya 1990 sio sawa na ta leo.😂😂😂 Mkuu Ngoja na Mimi Nianze Na Mtaji Wa 20,000 Ntaleta Mrejesho.
Kabwela😂😂😂 Sjui hata linaitwaje maana Kwenye lugha yetu sjawai lisikia
Kipato cha kati. Hili kundi ni kubwa na ndio wenye kuamua raisi awe nani.😂😂😂 Sjui hata linaitwaje maana Kwenye lugha yetu sjawai lisikia
😂😂😂 Mbona kama Watu wa kipato cha chini hapo tofauti ni majina tu ila maana inakua kama ni ile ileKabwela
Kapuku
Mganga njaa 😜
Asokuwa na hili wala lile
Motoni/Peponi Hakuna Husiano Wa Moja kwa Moja na Umaskini/Utajiri,Matajiri wataenda motoni
Ila kweli Mkuu Nakumbuka Utotoni ukiwa Na Sh 20 Ni Taita ukiingia kwa Wachoma vitumbua na vibalagala Unakaa kibosi,20k miaka ya 1990 sio sawa na ta leo.