Recent content by thebogo055

  1. T

    Mwanaume Miaka 30 bado unakaa kwenu!

    Katika vitu ambavyo sikubaliani navyo ni huu msemo!! Jamani maisha yanapiga nyiee! Maisha yanachapa kama fimbo. Ukiona by that age uko kwako unajimudu mambo ya maana mshukuru Mungu. Kuna watu wame hustle sana lakini wapiii, wamepambana sana lakini wapi.. washasalitiwa na marafiki, wapenzi...
  2. T

    Mume wangu nataka mtoto

    Alisikika mke wangu baada ya maongezi mafupi.. nikamuuliza kulikoni unataka mtoto ghafla hivyo? Akaniambia nimetoka home mama akaniuliza vipI tayarI tumboni.. pia mashangazi wakaanza kuniambia mhh umeishi na mumeo mpaka sasa haujashika mimba vipi kuna tatizo!? Hayo ni maneno ya ndugu wa mke...
  3. T

    Je, Barcelona wamestahili kipigo dhidi ya Bayen Munich?

    Hii team tunaizungumzia saa ngap wadau... maana walichomfanya barcelona ni hatari... Yaan wanashinda lakin kocha wao bado anapga kelele wakaze dah...
  4. T

    Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

    Nmerudi tena ninekumbuka visa vya wanawake wa badoo. Kuna mwana alikua anawaokota sana wanaume na ana wapiga hela kinoma. Badoo ndio niliamini ule msemo wa" wajinga kama samaki hawaishi baharini". Mwana alijifanya mwanamke kipindi hicho katikati ya miaka ya 2000 akaweka profile picha ya mdada...
  5. T

    Usimuamini sana mtu, yamenikuta mwenzenu

    Habari wana JF, Leo nina story fupi sana kuhusu urafiki. 1. Ninaweza kuwa rafiki yako lakini usiwe rafiki yangu, nikimaanisha mimi ninaweza kujiweka kwako kama rafiki nika share mambo mengi na ww ya maisha na kukushirikisha maamuzi mengi. lakini wewe ukaniona mimi kwako ni wa kawaida wa...
  6. T

    Roho mbaya ya binadamu

    Kuna watu tunatofautiana sana kimawazo, fikra, weledi nk. Wapo binadamu hata umfanyie nini bado hatokuheshimu wala ku appreciate yote uliyomfanyia.. yupo radhi akuue achukue nafasi yako. Sishangai hii ni human nature (ubinafsi) tuna ubinafsi sana ingawa ni ngumu sana kuuonesha lakn deep inside...
  7. T

    Ni lazima umfikishe?

    Habari wana JF. Kuna jambo nimeona ni share na nyie maana kilichotokea juzi mtaani kwangu ni hatari. Jamani wanaume wenzangu unapokuwa kwenye mahusiano ambayo yako serious mpaka ukafikia hatua ya kumuweka mtoto wa kike ndani basi usimuache njiani. Namaanisha mnapokuwa kitandani basi hakikisha...
  8. T

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Vips odds za leo zimekaaje!? Mi naona leo ushindi kwa ...... Everton Southampton Man u Real betis Real madrid Barcelona na Athletic bilbao
  9. T

    Wakina dada, hii imekaaje kwenu?

    Kwenye maisha kuna kupanda na kushuka, ups and downs. Nimeona mengi ya kuvutia kama upendo wa dhati kwa wapendanao kabla ya ndoa au kabla mwanamke hawa proposed for engagement. Kuna wanaume huwa wanaonesha mapenzi ya kweli kabisa mpaka msichana anajiona bora katika jamii inayomzunguka achana...
  10. T

    Utafanyaje ukijua unasalitiwa?

    Kuna rafiki yangu aliniuliza like "usipomuacha mwanamke wako siku ukimkuta na wanaume mwingine, utakuja kumuacha siku akiunguza mboga?" Maana yake hakuna dhambi ya kuachana na mkeo au mumeo isipokuwa uzinzi. Huna haja ya kupigana na mtu wala kutoleana maneno machafu kama ameamua kucheat basi...
  11. T

    Mambo yanayokurudisha sana nyuma kwenye maisha

    Kuna mambo mengi yanarudisha nyuma maendeleo binafsi ya mtu maisha yanaharibika tarabu huku unayaona na huna guts za ku man up na kupambana Na huwa kuna ule msemo wa unakumbuka shuka wakati kumeshakucha like vile unasema ngoja kesho ntafanya au kesho ataona balaaa langu lakini kesho ikifika...
  12. T

    Nauliza tu: Kwanini wenye nyumba wana usumbufu hivi?

    Hivi kwanini nyumba za kupanga ambazo wenye nyumba nao wanaishi humo zinakuwa na usumbufu sana. Wenye nyumba wanasumbua kinoma noma yani. Mfano nyumba ninayokaa nimehamia mwezi wa tano, lakini dah natamani kuhama sema ninmeshalipa miezi sita. Yaani kuna vigharama vya ajab ajabu mpaka najiuliza...
  13. T

    Betting addiction ni mbaya sana

    Leo nina mood ya kusema jambo kwa wanaopenda kubet wazee wa mikeka. Betting nayo ni uraibu kama uraibu mwingine tu kama wa madawa ya kulevya, pombe, ngono nk. Ila kwenye betting ndio unakuwa masikini kabisaaaa tena wa gafla tu. Ukiwa addict unaona kila unavyoliwa basi mkeka ujao utakula mbona...
  14. T

    Karma ipo, trust me: Ubaya unaoutenda kwa wengine huwa unajirudia sana

    Kuna mambo mengi sana mabaya ambayo tuna wafanyia binadamu wenzetu tena kwa kujua kabisa kama tuna tenda ubaya. Maisha yalivyokuwa magumu bado unadiriki kumdhulumu mtu mali yake au pesa ambayo uliazima kwa unyonge. Wahenga walisema usimtendee mtu jambo baya usilopenda kutendewa, hata vitabu...
  15. T

    Wife bwana, ananikagua kinoma na asipoona kitu ananiuliza kama nime-block

    Nina mwezi mmoja sasa tangu nimtolee huyu binti ambaye soon atakuwa mke wangu halali wa ndoa. Kama unavyojua mila zetu Africa ukishatoa kishika uchumba + mahali binti anakuwa huru kuja kwako akaspend quality time na wewe bila kuwa na ile hofu ya wazazi kuulizwa ulizwa maswali au kutafutwa...
Back
Top Bottom