Utafanyaje ukijua unasalitiwa?

Utafanyaje ukijua unasalitiwa?

thebogo055

Member
Joined
Jun 22, 2020
Posts
19
Reaction score
176
Kuna rafiki yangu aliniuliza like "usipomuacha mwanamke wako siku ukimkuta na wanaume mwingine, utakuja kumuacha siku akiunguza mboga?"

Maana yake hakuna dhambi ya kuachana na mkeo au mumeo isipokuwa uzinzi. Huna haja ya kupigana na mtu wala kutoleana maneno machafu kama ameamua kucheat basi ana sababu nyingi za kufanya afanye hivyo. Piga chini hakuna kuvumiliana hakuna msamaha.

Atakuambia nini tena umuelewe?

Nimewasikiliza kina Shilole na mwenzie Uchebe nikaona ishu kubwa ni usaliti mpaka yakapelekea hayo maugomvi na vipigo. Mimi huwa na support sana kutokupga mwanamke nikiamini hakuna mkamilifu kwa maana hata mimi naweza kuteleza.

Ila kuna wanawake wanajua ku provoke watu kuna wanawake wanaweza kutafuta kupigwa jamani. Nakumbuka wakati nasoma chuo niliwahi kupiga mwanamke wangu kipindi hicho kisa mapenzi na usaliti lakini tangu siku hiyo sijawahi tena kunyanyua mkono kipiga mwanamke na wala sitakuja kupiga tena kwa maana hawa wenzetu baadhi yao hata shetani anawaogopa.

All in all tusiwapige wanawake wala tusiwape muda wa kujitetea maana hakuna sababu ya halali ya kucheat. Halafu jamani wakatazeni wanawake zenu kuchat na ma Ex wao msiifanye ikawa tabia na kuona ni kawaida wanakumbushiaga hawa.

Sasa wewe jifanye eti oh ni Ex tu huyo hana nguvu.
 
Hivi uwa wanachit na wanawake wenzao, Cha kuuliza ukifumaniwa na mwanamke/make was MTU,ufanyweje?
 
Mkuu naunga Mkono hoja yko
 
Ukipigiwa demu tu roho inauma, asa cjui maumivu ya mke yanakuaje!
 
Back
Top Bottom