Recent content by The Hunter

  1. The Hunter

    Huu ndio muundo wa askari kwa majeshi yote duniani

    We jamaa ulichoandika kwa kiasi kikubwa si sahihi kwa ulivyosema dunia nzima! Lau ungesema kwa Bongo labda maana sijui mfumo wa Bongo Ukoje. Kwa US ( Army) na hii sijawataja Marine, Airforce wala Navy tupo tofauti kiasi. Ila ktk matawi yote kuna kitu tuna kiita MOS ( Military Occupation...
  2. The Hunter

    Nimfanye nini mke wangu huyu?

    Ntajie nchi nije kukusaidia kazi Sent using Jamii Forums mobile app
  3. The Hunter

    Nimfanye nini mke wangu huyu?

    Kama moyo wako wa barafu, jitie ujinga life liende, kama we ni Marioo tulia tu huna namna. Ila either humtoshelezi au umeoa kicheche. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. The Hunter

    Threat?: Kim Threatens "Firm Action" Against US Sanctions

    Kimsingi kama hujaiona vita wala kuisogelea si kitu cha kushabikia, madhara ya vita ambayo baadhi hapa wanaonekana kuifurahia hayatatokea US kamwe. Tutakaopata madhara ni sisi tusio na uwezo wa kujilinda nayo. Imani za kidini ama ushabiki wa kijuweni hautatoa mwangaza ktk hii mada zaidi...
  5. The Hunter

    ITV Daima tafadhalini kwa mateso haya mnayotupa, tuombeni radhi haraka Watazamaji wenu

    Wekeni na picha tuschoshane Sent using Jamii Forums mobile app
  6. The Hunter

    Threat?: Kim Threatens "Firm Action" Against US Sanctions

    Tatizo hujui unachoandika! NK ni 3rd WC wanachobumbua leo America inacho more than 50yrs. Jiulize kwanini Russia kakaa kimya humsikii sana akivamia nchi za East Europe Sent using Jamii Forums mobile app
  7. The Hunter

    Kumekucha; China yatua mzigo wa North Korea yasema US na Korea waelewane wenyewe

    Muda wa kazi ni sasa! Under Maddog NK itapotezwa na hamtaamimi maana historia hii itadumu karne na karne! Mnaomfikiria Trump na kusahau US military's zina mifumo tofauti mnakosea. Dunia itajifunza funzo jipya soon Sent using Jamii Forums mobile app
  8. The Hunter

    Threat?: Kim Threatens "Firm Action" Against US Sanctions

    Daa nyie raia ukisoma mawazo yenu mnaongea ujinga msio ujua! Hamjui madhara ya Nuke wala hamuijui US iko strong kiasi gani. NKorea inaweza kupotezwa within an hour! Ila haitaadhirika NK tu, madhara yake ni ya wengi. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. The Hunter

    Faru John wajanja walishamnywa kitambo, pembe zilizoonyeshwa ni za faru "Hadija"

    Ile mahakama ya mafisadi soon inapelekewa vichwa! Magu anawavutia speed sherehe zipite na mahakimu warudi kazini
  10. The Hunter

    Nimechoka kula vumbi,nataka nizamie meli

    Andika usia kabla hujazamia
  11. The Hunter

    Wanajeshi hawa kweli ndo hivi?

    Daa Chief umegonga mi point sana# Sema hawa raia wanapenda wapaka lipstick
  12. The Hunter

    Kutoonyesha Hisia/Huruma wala pole za sauti si Udikteta bali ni Ushujaa wa Kijeshi!

    Pasco# umeongea mengi lakini amini me nipo ktk jeshi la dunia tumekuwa Afghan, Iraq na hapo Africa. Unachotetea si ubinadamu wala utu, pole ya makaratasini haibebei mguso ndo maana hutashangaa ukiona kina Obama, Bush wamekuwa na desturi za kufika pale tatizo lilipotokea. Utakumbuka kisa cha...
  13. The Hunter

    Ommy Dimpoz afunguka kuhusu gharama alizotumia hadi kupiga picha na Rooney

    Ushamba mzigo, huyo dogo anazijua €10,000?
  14. The Hunter

    Nataka kujuzwa kuhusu Berlin

    Na kasiku kamoja ka kuitembelea Berlin, wapi pana mambo mengi ya kihistoria? Natanguliza shukrani
Back
Top Bottom