Threat?: Kim Threatens "Firm Action" Against US Sanctions

Threat?: Kim Threatens "Firm Action" Against US Sanctions

Marekani anatumia maneno ili kuogopesha wananchi was N. Korea. Vitisho hivi vinasababisha watu na serikali wasizalishe ili nchi ianguke kiuchumi au wananchi waandamane kwa ukali wa maisha.
Hii ni mbinu ambayo anaitumia USA sana kwa maadui wake ambao anawaogopa kupambana kwa silaha za moto.
Kitendo cha Kim kuwaondoa wakazi Pyongyang ulikuwa no ushindi kwa mmarekani.

Kiduku ni noma sana, USA anapiga goti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tehe!, sawa bwana, tuone atafanya nini akiendelea kubanwa kama anavyodai..
Tumesha mtuma china amwambie Bi /Trumpo aache kupiga kelele aje tupo tiari ole wake asogeze tena yale majahazi yake kwenye rasi korea!!
 
Timu kiduku bhana, mnafikiri ni rahisi ki hivyo..

Mie swali langu moja tu, mnasema yuko vizuri lakini mbona hapa analia na vikwazo, mpaka anatishia kama atabanwa zaidi.
Na bado acha abanwe mpaka ajitoe haja kubwa.
Na Japan nae naona kaunga tera, nae anaandaa vikwazo vyake rasmi juu ya kiduku. Mbona analo...
 
Tumesha mtuma china amwambie Bi /Trumpo aache kupiga kelele aje tupo tiari ole wake asogeze tena yale majahazi yake kwenye rasi korea!!

[emoji28] [emoji23] [emoji23]

Mmepata jeuri ya kuongea kwa sababu mapipa yenu yanafika masafa sasa eeh!
Alijisemeaga Nankumene ana wasiwasi mzigo unaweza kuishia njiani...lol!

Nyie endeleeni tu ku mbore mawigi muone kama hajawatwanga mpaka muombe poo [emoji28]
 
Hawezi ata kusogeza tena ya mameli yake tuliyo yagonganisha huko baharani na mameli ya mizigo ole wake ole wake asogeye tena karibu na rasi ya north Korea
 
Na bado acha abanwe mpaka ajitoe haja kubwa.
Na Japan nae naona kaunga tera, nae anaandaa vikwazo vyake rasmi juu ya kiduku. Mbona analo...

Hahaha!, Mjapan nae anaunga?!
Ndio nawaambia team kiduku hapa Dogo wao analia sasa naona yamemfika ku singo.
Eti wakiendelea kumbana analianzisha with a 'firm action' sijui alikuwa wapi muda huu.
Kaona mapipa yake ya juzi yanaenda masafa ndo analeta kiburi eti atakinukisha.
Achapwe tu sasa maana hakuna namna!

Baada ya kiduku kuwa sawa sawa kwenye maji na angani ametangaza rasimi atakaye jaribu kuzuwia biashara zake huko majini baharini maana kwa sasa atatumia bendera zake mwenye za north ole wa atakaye songelea meli zake nina kuhakikishia Japan hawezi ata kwa dawa kubishna na north jamani hayo madude ziyo mchezo adi Bi/ Trumpo wingi linakaribia kumvuka
 
[emoji16] [emoji28] [emoji28]
Eti litamvuka...lol

Lakini unajua naona kama vita kweli ipo basi inakaribia. Kiduku naona kapata confidence ya ghafla bin vu halafu habadili msimamo wake.
Na kama wengine wakina Japan wanaunga trailer kumuwekea vikwazo basi ndo wanazidi kum bore. Hii kitu si nzuri asee!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nalendwa, picha ya hilo dude hapo ninaitengenezea fram niweke ndani kwangu ni bonge la picha na bonge la dude hatari kwa marekani!!
 
[emoji16] [emoji28] [emoji28]
Eti litamvuka...lol

Lakini unajua naona kama vita kweli ipo basi inakaribia. Kiduku naona kapata confidence ya ghafla bin vu halafu habadili msimamo wake.
Na kama wengine wakina Japan wanaunga trailer kumuwekea vikwazo basi ndo wanazidi kum bore. Hii kitu si nzuri asee!

Sent using Jamii Forums mobile app
Nina kuhakikishia 100% haipo maana hilo dude kufika japani ni sawa na wewe kufika kinondini au ubungo bus station haki vile na maangamizi yake ni ya 3D na wana lijuwa hilo hawata dhubutu!!
 
Deterrence strategy si ndio wamekuwa wakitumia all along mkuu?
May be it's not effective maana Dogo kama vile hajali na kuendelea kuyakusanya.
Effectiveness yake bado haijawa clear kama itazuia mabomu ya nchi adui, wanaupdate kadri siku zinavyosonga.
 
Hivi Fundi...hapo danger zone sasa! 😀

Na huo moshi mweupe mbona upo pia kwenye madude ya Trump?
Halafu hayo madude ya Kim ndio yanafika mbali lakini bado hatujajua kama yanaweza kubeba lile zigo lenyewe..

Mtajua siku likimdondokea mtu.
 
Hahaha!, Mjapan nae anaunga?!
Ndio nawaambia team kiduku hapa Dogo wao analia sasa naona yamemfika ku singo.
Eti wakiendelea kumbana analianzisha with a 'firm action' sijui alikuwa wapi muda huu.
Kaona mapipa yake ya juzi yanaenda masafa ndo analeta kiburi eti atakinukisha.
Achapwe tu sasa maana hakuna namna!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha... Ndo nnachowapendea wazungu hapo tu ukijifanya jeuri wanakubinya kimyakimya. Mwangalie Duterte sasa hv kimyaaa, kaleta kidomodomo kapelekewa ISIS sasa hv mashauzi yote kwishney. Sasa dogo alikua anasema vikwazo haviumizi sasa povu la nini. Ngoja na mjapan aunge tera.
Naona Japan nao wanataka THAAD huku South korea wakitaka THAAD nyingine pia ziongezwe. Hili picha naona linaelekea kuisha soooon.
 
Daa nyie raia ukisoma mawazo yenu mnaongea ujinga msio ujua! Hamjui madhara ya Nuke wala hamuijui US iko strong kiasi gani.
NKorea inaweza kupotezwa within an hour! Ila haitaadhirika NK tu, madhara yake ni ya wengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nalendwa.
Dogo ni paka ambaye kwa sasa yupo ndani ya nyumba ya marekani kwa maana hiyo wakijaribu kuzuwia biashara zake atawambia kuwa ata amsha hayo madude na nakuhakikishia hakuna atakaye jaribu wata ziangalia tu kama simba aliye kimbiza swala aka mkosa !!!
Nalendwa hayo madude hayawezi kwama kwa huo moshi mweupe yaliyo toa ni dhahiri kabisa wamefaulu kwa 100%
Yani hapo likipewa muelekeo na kujazwa mafuta linafika bila shida yoyote marekani!
Vikwazo vitakuwa historia kwa sababu dogo ameshakuwa mtu wa ngumi mkononi mwazo alisema ukirusha risasi moja mimi ninarusha dude sasa hivi ameshatangaza ameshapata dawa aliyokuwa ana watafutia wao walikadiria miaka mitano kumbe yupo tiari !!
Nalendwa kiduku yupo vizuri usimkadirie maana hao marekani wenyewe waliamua kurudisha ile mimeli vita yao baada ya kujuwa kuwa huyo dogo hatishiwi na kuhakikishia marekani angebakisha hizo meli zake kati kati bahari ya south Korea leo tungeongea mengine dogo hajaribiwi kama mtukufu wetu akikukosa kwenye targets uhujumu uchumi ata kupima ata mkojo siyo lazima ukamatwe ukivuta bangi au kutumia unga !!
😀 😀 😀 😀 😀 😀 duh hii ni balaa
 
Hivi Fundi...hapo danger zone sasa! 😀

Na huo moshi mweupe mbona upo pia kwenye madude ya Trump?
Halafu hayo madude ya Kim ndio yanafika mbali lakini bado hatujajua kama yanaweza kubeba lile zigo lenyewe..
MKUU mzigo husika unabebeka bila matatizo mbona kitambo sana! Tatizo lilikuwa hauwezi kupelekwa masafa ya mbali japo Korea ya kusini na Japan unafika! Sasa keshafaulu kupeleka mzigo kokote kule duniani!
Ndio maana hata marekani keshakuwa mpole na keshaanza kupotezea!
 
Hahaha... Ndo nnachowapendea wazungu hapo tu ukijifanya jeuri wanakubinya kimyakimya. Mwangalie Duterte sasa hv kimyaaa, kaleta kidomodomo kapelekewa ISIS sasa hv mashauzi yote kwishney. Sasa dogo alikua anasema vikwazo haviumizi sasa povu la nini. Ngoja na mjapan aunge tera.
Naona Japan nao wanataka THAAD huku South korea wakitaka THAAD nyingine pia ziongezwe. Hili picha naona linaelekea kuisha soooon.
Wajinga ndio waliwao! Anachotaka marekani ni kuwauzia Japan na Korea kusini hizo THAAD! Wala hazina uhakika wa kuzuia missile kwenye mazingira halisi ya kivita!
 
Daa nyie raia ukisoma mawazo yenu mnaongea ujinga msio ujua! Hamjui madhara ya Nuke wala hamuijui US iko strong kiasi gani.
NKorea inaweza kupotezwa within an hour! Ila haitaadhirika NK tu, madhara yake ni ya wengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usidhani marekani akiipiga Korea kaskazini yeye atabaki salama! Kwa kuwa anajua hawezi kubaki salama hatothubutu! Hiyo inaitwa MAD yaani Mutual Assured Destruction! Yaani ukilianzisha uwe na uhakika kuwa na wewe umejihakikishia maangamizi;
 
Back
Top Bottom