Pure nomaa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2011
- 1,158
- 1,388
Habari zenu wakuu
Toka nipo mdogo nilikuwa na ndoto ya kuishi marekani.Nimepambana kwa nguvu zangu zote ili kuweza kupata nauli ya ndege ya kunifikisha USA lakini nimegonga mwamba.
Baada ya kutafakari kwa muda mrefu na kutokuwa tayari kupoteza ndoto yangu nimeona ni bora niondoke kwa kuzamia meli mpaka marekani
Sasa wakuu naomba mwenye taarifa yoyote ya kufanikisha safari yangu anisaidie,mf meli nzuri ya kuzamia,muda wa kuzamia,chakula cha kutumia ndani ya meli,sehemu nzuri ya kujificha n.k